Mahali:Dakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka mzima
Umbali wa shamba kutoka mtoni ni around mita 350
Shamba limepimwa na lina hati ya kimila...
Heri ya Mei Mosi 2017.!
Wakuu hili sakata la uhakiki limeondoka na ex-boss wangu.Kiukweli nilivyoona jina lake nimesikitika sana kwa sababu ana miaka zaidi ya 25 kwenye utumishi wa Umma na alikuwa amebakiza miaka kama 6 kustaafu kwa lazima
Baada ya kuona jina lake kwenye ile orodha kesho yake...
Nawasalimu wana JF.!
Nchi yetu imeendelea kupokea ugeni wa viongozi toka mataifa jirani na hata nje ys bara letu la Afrika,wengi wa waliofika wameonyesha nia thabiti ya kujenga/ kuendeleza uhusiano na ushirikiano mzuri na nchi yetu hasa kwa suala zima biashara na uchumi
Juzi tumepokea ugeni...
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa
Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali
Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje
Hii nchi kuna watu wanapaswa kufungwa au
kupewa adhabu kali iwe fundisho. Miongoni
mwao ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na safu yake
ya uongozi. Ningekua na mamlaka Malinzi leo
angelala "Keko au Segerea"..
Mbwana Sammata ameleta HESHIMA KUBWA
sana Tanzania ambayo viongozi wa kisiasa
wameshindwa...
Wakubwa kwa wadogo hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu yenye kauli mbiu ya "hapa kazi"
Kama mjuavyo Kiongozi wetu mkuu wa nchi Mh.JPM tangu aingie Ikulu mwishoni mwa mwaka jana bado hado hajafanya ziara rasmi nje ya nchi.
Na hii inawezekana ni kutokana na majukumu mazito ya Kitaifa...
Hili ni tatizo la ajira kwa nafasi husika.
Yaani nafasi moja lakini maombi zaidi ya 20 tena kwa gharama kubwa? Nafasi hii inaonekana kwa sasa ndiyo inayolipa zaidi kwa Tanzania ndo maana waombaji wanatumia mabilioni ya pesa kuhakikisha wanafanikiwa.
Kama mtu anadiriki kutumia karibu bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.