Search results

  1. Se-ronga

    Ajira za Makocha wa Mpira wa miguu ni ngumu

    Kwa kweli ni ngumu,,,na huo ugumu ndio unasababisha malipo yao kuwa mazuri Mfano,hii case ya Robertinho kuvunjiwa mkataba atakuwa amevuta mkwanja wa maana,,na ndani ya miezi michache tu atakuwa ameshapata timu nyingine All in all,, wenyewe wanasema " Coaches are hired to be fired"
  2. Se-ronga

    Hamna taifa litaloweza kuing’oa Israel Mashariki ya Kati maana hapo ndipo nyumbani!

    Duuh,,maelezo mazuri,,japo hujaweka wazi ni namna gani hao Mayahudi walivyokuwa wanahatarisha usalama wa nchi za Ulaya Anyway,ntasikiliza hayo mahojiano
  3. Se-ronga

    AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Kweli Binadamu tumeumbwa kusahau.Hivi unakumbuka Simba alivyokuwa anasifiwa enzi za Simba ya Luis na Chama,,enzi zile za Yanga ya Zahera na bakuli?.Sasa kama umesahau,,ndo ujue kibao kimegeuka,,tena ni huyu huyu Mpenja aliyekuwa anawamwagia sifa Simba.Alifanya hivyo kwa sababu ya ubora wa kikosi...
  4. Se-ronga

    Kipa mpya wa simba ni majeruhi

    Nani alaumiwe kwa hili,waliomteka airport, au waliofanya scout???
  5. Se-ronga

    FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

    Wanaosema Rivers United ni wabovu nakubaliana nao,yaani ni wabovu kama Horoya FC tu.
  6. Se-ronga

    Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Mpira hauko hivyo,kufika robo fainali ya CAF haitoi guarantee ya kuwafunga ambao hawakufika level hiyo,,kumbuka Simba msimu uliopita alifungwa na Prison ambaye sina hakika kama ameshawahi kushiriki kwenye michuano ya CAF
  7. Se-ronga

    Haji Manara baadae atasema aliombwa na Waziri aombe msamaha?!

    Mimi naona hili sakata ni kama vile linamuongezea umaarufu Haji kuliko kumpoteza!
  8. Se-ronga

    Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

    Mo hawezi kuondoka Simba mwenyewe,,labda kama kuna uwezekano wa kufukuzwa, lakini siyo kujiondoa mwenyewe.
  9. Se-ronga

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Leo kawa uchochoro kwa Sopu !
  10. Se-ronga

    Kocha wa Simba amehujumu timu kuwatoa Chama na Morrison

    Kwenye mechi za Derby za Yanga na Simba,,Chama huwa anapotea,,ukiacha ile ya FA ambayo Simba alishinda 4-1 baada ya baadhi ya Wachezaji wa Yanga kufanya hujuma,,otherwise jamaa siku zote mechi za Derby kwake huwa ngumu !
  11. Se-ronga

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Mimi pia nimejaribu kuwa search lakini siwaoni,au wamebadilisha jina?
  12. Se-ronga

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Bajeti yangu ni Tzs.1.2 mil Mkuu,,sidhani kama itatosha kwa hichi kinu
  13. Se-ronga

    Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

    Wakuu nina plan ya kununua PARTY BOX kwa ajili ya kuwa nafanyia outdoors functions kwenye eneo la wazi linaloweza kubeba watu 80-100 Kwa research ndogp nliyofanya brand ninazozipa kipaumbele ni JBL,SONY NA PANASONIC Je kwa bajeti ya Tzs.1,200,000/ ni party box ipi inaweza nifaa kati ya hizo...
  14. Se-ronga

    Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

    Pamoja na Wachezaji wengi wa Al Ahly kuwa kwenye Afcon bado jamaa ameendelea kusugua benchi,,basi ni bora arudi tu kwenye ligi ya Wavulana kama mwenzake maana huko kwa Wanaume hapawezi
  15. Se-ronga

    Maonesho ya kazi za kishirikina

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya uchawi na ufukara/umaskini?? Na suala kuiba kwa sheria za uchawi limekaaje.Kwa mfano kama mchawi anaweza kuingia kwa mtu tajiri usiku huku mageti na milango ikiwa imefungwa,,anashindwaje kufungua begi au kabati achukue hela,,au hata achukue ATM abaini nywira...
  16. Se-ronga

    Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

    Inawezekana kabisa mkuu,,hizi siasa za Afrika zina mambo mengi,,unaweza kuta hao wakubwa wanafahamu jamaa alipo na tena yupo huko kwa maelekezo yao afu wanatuzuga tu..!
  17. Se-ronga

    Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    "Washambuliaji 3 butu wamshindwa Dida"
  18. Se-ronga

    Yanga yamsaini striker hatari wa Zanaco, Mosses Phiri

    Kwa nafasi ya Moloko na Ntibazonkiza yupo Nkane na Ambundo na hata Ngushi ana uwezo wa kucheza akitokea pembeni,hapo kwa Mwamnyeto kweli ni muhimu apate beki mwingine mkali wa kumpa ushindani!
  19. Se-ronga

    Plot4Sale Nauza shamba Morogoro

    Tzs.1,500,000 kwa kila heka
Back
Top Bottom