Search results

  1. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Kuwa makini tu kwa miamala na pesa
  2. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Simu za kurudisha miamala nilipokea moja tu ..kuhusu kuhamisha salio sijakuelewa mkuu
  3. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Pesa kuzidi ipo lakini siiweki kwenye hesabu za mtaji maana najua huwa inakua miamala ilokosewa na wateja wengine kutoa inaingia kwangu baada ya siku mbili tatu unakuta haipo imerud amount ileile ya mtaji wako
  4. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Ninapoweka flot kwa mawakala wakuu huwa naangalia kiasi kilichoingia na pesa niliyompatia wakala mkuu au bank huwa kipo sawa ..sasa sijui kama kutakua na mbinu mpya
  5. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Ukiuliza shoti zinatokana na nini wanakuambiaje?
  6. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Niambie mkuu hapo kwenye biashara yako inakuaje? Unapata loss au pesa zinakua taslim kila. Mara? Naomba kujua
  7. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Kutenganisha pesa za mpesa na za bank sijafanya hilojambo zote zipo pamoja sababu ni biashara yaaina moja .alafu matumizi na Pesa ikitoka hata kwa mtu atakayelipa badae huwa naweka record katika kitabu chake napia watu wa kukopa na kulipa badae huwa inatokea Mara chache sana tena sana
  8. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Sijarelax dear... naweza nikawaza hivyo naikawa tofauti huwezi muhukumu mtu tu .ndio maana nimeomba ushauri na nitafatilia huu ushauri ninaopata na bado ikawa hvyo basi ninahaki kumuhukumu nayeye pia
  9. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Nafikiria kuhusu kuandika amount labda itakuwa kunamakosa yanatendeka hapo..napia kuhusu malipo nampa vizuri ..swala lakufanya biashara ndogo ndogo sijaona kama anafikiria hilo jambo...asante kwa ushauri
  10. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Sawa mkuu nitazidisha umakini
  11. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Sikutaka kufikiria hvyo lakini nitaweka mtego nitajua
  12. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Mtu akinipa pesa nahesabu vizuri na ninahakiksha hata mara tatu na ninamshine ya kuhesabia ..nahesabu na mkono pia nahakikisha na mashine
  13. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    [emoji3][emoji3][emoji3] jamaa kiboko..maadam hakula hiyo nyama haina shida ..unajua inaumiza kufanya biashara kwa umakini lakini bado mambo yanaenda mrama
  14. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Ipo wapi hyo thread naomba link niisome
  15. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Ndio lakini sio kila siku mpendwa najitahidi kihesabu vizuri pesa na kufanya muamala kwa umakini lakini bado hali ni hiyo hiyo
  16. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Sawa mkuu nitafatilia na hili
  17. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Shukrani ..nitafanya hivyo
  18. Malyakishu

    Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

    Asante. Nitajaribu kuweka mkaa
Back
Top Bottom