Search results

  1. K

    Mtatiro na hoja ya ruzuku ni uzushi kama hoja ya RITA

    Katika kesi hiyo wewe uko upande upi? Wa CUF au wa Msajili na AG?
  2. K

    RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

    RC huyo inaonekana kweli linamtafuna. But, angetumia hekima kukaa kimya!
  3. K

    RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

    Badala ya kuomba radhi anazidi kumkejeli.
  4. K

    CCM kufanya Maandamano makubwa ya kihistoria Songea kesho

    Kwani zile silaha za Ikwiriri hazijafika Songea?
  5. K

    Je Bunge la Katiba Kurushwa 'Live' kupitia Redio na TV?

    Huenda likarushwa live. Ni tukio kubwa sana!
  6. K

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Sasa huku ni kulewa Madaraka
  7. K

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    Hapa, hawa green guard watakuwa wanafyatua matofali au wanafagia hospitali kwa mujibu wa nchemba.
  8. K

    Tuwasaidie Vipi 60% ya Wazanzibari kutoka kwenye Muungano?

    Mzee Mwanakijij, Tarehe 30/5/2013 Wazanzibar kadhaa wamefungua kesi (Petition) Mahakama Kuu ya Zanzibar wakiomba Mahakama hiyo itangaze kuwa Muungano ni batili. Kesi hii imeshafikishwa mahakamani ingawa bado haijapangiwa kusikilizwa. Huenda na hizi ndiyo muendelezo wa siasa za Zanzibar na hatua...
  9. K

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Kule utatumia jina gani, hili bandia au lile lako halisi?
  10. K

    DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

    Naamini wakithubutu kuandamana askari watatosha kuwadhibiti misikiti yote. Lakini wakiandamana kwa amani askari wa kuwalinda hawatoshi.
  11. K

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Mi tatizo la wingi wa watu halinisumbui sana. Lakini kinachonisumbua ni huo mfumo wa nusu kwa nusu walioanzisha. Mtu anaweza kujiuliza, hivi baada ya kukubali hasa sisi watanganyika kutungwa kwa sheria mbovu hii ya mchakato wa katiba, tutakuja kukataa tena, kama Wazanzibar wakitaka kwenye katiba...
  12. K

    Facebook yatishia kujitoa endapo hatutakubali "ushoga"

    By the way what is FB? Do we think a country can not live without FB? Wale jamaa wanatumia misaada kama fimbo ya kupitisha mambo yao. Umefika wakati tuache kuomba omba.
  13. K

    Philip Mangula: Wale wote walioshinda kwa Rushwa watashughulikiwa ndani ya Miezi 6 kuanzia sasa

    Wakati kikwete anaingia kugombea kwa ufisadi mkubwa ambao haujawahi kutokea kwenye nchi hii, mangula alikuwa katibu mkuu wa chama. Kama yeye ni makini kwa nini ndani ya miezi sita hii aliyotangaza asianze na mwenyekiti wake aliyeasisi mtandao wa kifisadi? Pia, wakati chama kinachukuwa mabilioni...
  14. K

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Huyu jamaa ama anataka afutiwe kesi au anatafuta cheo. Si muda mrefu atafukuzwa kwenye hilo gazeti na atahamia gazeti la uhuru. Subiri tuone!
  15. K

    Waziri Muhongo ni muongo?

    Nitanzania tu nchi ambayo inaweza kukaa na Waziri Muongo, tena kwa kuthibitishwa na mtu mzito kama Spika na bado mtu huyu akaendelea kuwa na uwaziri wake.
  16. K

    Live on Star TV: Tutanufaikaje na Uchimbaji wa Gesi, Urani na Mafuta?

    Kitu ambacho kila siku najiuliza, kwa nini tunaridhika na kupata kodi tu kama ndiyo stahili yetu? Hivi, watu hawa wanapochukua raslimali zetu sisi tuna stahili kodi tu? Hata hiyo royalty ni kodi tu nayo. Kwanini tusiwe na share ya 50:50 then, wote tulipe kodi? Hatuwezi kuendelea kuwa shamba la...
  17. K

    Tamko la vijana wa Kagera kuhusu ziara ya Nape

    Hivi Nape una maana zile Salamu za Rais ulizotoa pale zilikuwa feki? Basi hasira za huyu jamaa ni za kweli. Kwamba, Muasisi wa TAA amezikwa bila kiongozi wa kitaifa. Hata mi hapo naona kuna tatizo. Kwa kweli lengo la Eric Kimasha limetimia. Alitaka kujua hicho ulichosema. Je, ulienda kwa...
Back
Top Bottom