Search results

  1. M

    Dharau za Ndugai kwa Watanzania zimepitiliza

    Tuta sema ukweli hata kama ni mchungu. Huyu Ndugai anayedai kuwa anajua maana ya kufundwa mbona wakati wa kampeni za 2015 alimpiga fimbo ya kichwani mgombea mwenza hadi akazimia na kulazwa hospitali. Kitendo hicho cha kishenzi kilitosha kumnyima nafasi ya kuwa spika. Ndugai lazima afahamu...
  2. M

    Malipo ya madeni kwa wanafunzi na nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi kipindi hiki ni rushwa ya CCM kwenu, msidanganyike

    Ndugu Wana bodi kitendo Cha serikali ya CCM kuanza kulipa madeni ya wafanyakazi na kuwapandisha madaraja inadhihirisha wazi kuwa huu Ni ukiukwaji wa maadili na kanuni za uchaguzi mkuu. Nawakumbusha wafanyakazi wote kuwa hizi ni dharau kubwa Sana kwa miaka mitano mmesoteshwa halafu leo...
  3. M

    Uchaguzi 2020 Lissu nichagueni ili nitengeneze mfumo mpya wa kiongozi kupitia katiba mpya

    Tundu Antipas Lissu, amekuwa alisisitiza kuwa Kama watanzania watakuwa na Nia ya kupata katiba mpya, Basi 28/10/2020 atakaye mpigia kura atambue kuwa kura yake itakuwa Ni kura ya katiba mpya. Hili Ni Jambo lisilo stahili kupuuzwa hata kidogo, Mara tu baada ya serikali hii ya awamu ya tano...
  4. M

    Sera ya ugatuzi itaondoa urasimu kwa ajili ya maendeleo.

    Jana nimemsikilaza polepole anavyo jikanyaga kanyaga kuelezea jinsi mikoa ilivyo gawanywa Hadi nikatilia mashaka elimu yake. Polepole anafikra za hovyo na anadhani watanzania si waelewa, kurudisha madaraka kwa wananchi kutarahisisha shughuli za kimaendeleo kwenda kwa haraka kuliko ilivyo sasa...
  5. M

    Asante Mungu kwa kutupatia Tundu Lissu

    Kwa kweli Mungu ni mwema Sana , Mungu anaye fahamu mianzo na mwisho wa kila Jambo, alijua kuwa katika awamu hii ya tano nchi itahitaji kuwa na mkombozi Kama Tundu Lisu. Na Kama yupo mtanzania ambaye bado hajamuelewa Lisu Basi hata akiletwa Malaika hata muelewa. Ni Nani ambaye angethubu...
  6. M

    Result Slip za kidato cha VI 2020 zinatoka lini?

    Nauliza result slip za 2020 zinatoka lini na ili uipate kwa sasa nifanyeje. Naulizia za kidato Cha sita 2020.
  7. M

    Nimesikia Mzee Yusufu Makamba akitaka hoja za Lissu kujibiwa

    Jambo la hatari kwa CCM ni kuruhusu Hawa walio dukuliwa sauti kujiingiza kwenye kampeni za mwaka huu. Tayari nimesikia Abdrahaman Kinana akijaribu kupaza sauti ya kuitetea CCM, Kama haitoshi Nape naye anajitutumua kuzunguka zunguka akijaribu eti kuonyesha mapenzi yake kwa m/kiti wa chama na...
  8. M

    Zanzibar 2020 Hii ya Wazanzibari kudai nchi yao imekaaje?

    Nimetizama clip moja ya kamanda wa ngome ya vijana wa ACT wazalendo akidai kuwa upigaji kura wa mwaka huu ndio wa mwisho kwa wazanzibari, akimaanisha kuwa hawatakubali tena kuwapigia kura viongozi wanaoandaliwa Dodoma. Hizi sio dalili njema kwa muungano wetu. Inabidi vikao vya maridhiano...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Umeanguka umeanguka wee CCM, tokeni kwake enyi Watanzania

    Miaka mitano ya CCM imejaa vilio kwa Watanzania kila Kona ya nchi, iwe ni kwa mwana CCM mwenyewe au hata asiye mwana CCM. Unamtumia muda mwingi kuhubiri flyover, SGR, ndege, Mabwawa ya umeme, meli. Nk Jambo ambalo CCM wanapaswa kujua kuwa hayo mnayo ya hubiri mna wahubiria Wananchi wenye njaa...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Uhuru, Haki na Maendeleo: Sera bora kabisa kuwahi kutokea

    Sera bora ambayo haijawahi kutokea. Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA. Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji...
  11. M

    Uchaguzi 2020 Mitano aliyotawala Rais Magufuli inamtosha, arudi Chato apumzike

    Yapo aliyoyafanya ambayo ukitizama kwa juu juu utadhani kuwa Yana manufaa kwa watanzania lakini kwa msingi wake ndo yamechangia kudidimiza maisha ya wananchi. 1: Utitiri wa Kodi kwa mtizamo wa haraka haraka utaona kuwa Ni Jambo jema serkali inakusanya mapato kwa wingi,lkn kinyume chake hiyo...
  12. M

    Uchaguzi 2020 Haki ya kuishi ni Bora kuliko CCM

    Inatupasa watanzania tuamue na tuwe wakweli juu ya haya yaliyo tokea kwa miaka mitano Mara tu baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa kweli mambo ya kikatili dhidi ya watanzania wenzetu. 1: wameuwawa. 2: wametekwa 3: wamebambikiwa kesi na hata kufungwa pasipo na hatia.( Ili mradi tu ikionelana una...
  13. M

    Kwanini tusione kuwa wasiojulikana ni CCM?

    Tarehe 6/9/2017 Tundu Lissu alishambuliwa na genge la watu ambao serikali ya CCM imewapachika jina la wasiojulikana ili Hali inajulikana wazi kuwa CCM ndio walioratibu na hatimae kutekeleza shambulizi haramu la kujaribu kuutoa uhaui wa Tundu Antipas Mughwai Lissu, tunasema kuwa ni CCM kwa sababu...
  14. M

    Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu

    Hii ndiyo aina ya tume ambayo Watanzania wanategemea kuwa itatuletea kiongozi halali aliyechaguliwa na Wananchi kupitia sanduku la kura. Tume inayoshindwa kujisimamia kwa Sheria na kanuni iliyo jiwekea yenyewe, hii ni aibu na fedheha kubwa Sana. Kama hii tume inatoa maamuzi ya ajabu kiasi hiki...
  15. M

    Jicho la Jaji Warioba kwenye rushwa

    Kuelekea uchaguzi mkuu imeonekana wimbi la viongozi kutumia nyumba za ibada Kama sehemu ya kuoitishia rushwa kwa kigezo Cha kufanya harambee ya kujenga misikiti na makanisa. Mwanasiasa mkongwe na mwanasheria mmbobezi jaji Joseph Sinde Warioba ameliona hili na kulisemea. Hiki ndicho kipindi...
  16. M

    Tundu Lissu ni jasiri wa kipekee

    Katika nchi hii kwa sasa hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kusimama hadharani na kukemea madhambi yanayo fanywa na watawala isipo kuwa ni Tundu Lisu pekee. Japo kuwa anapachikwa majina mengi lkn ukweli Ni kwamba huyu jamaa ameacha Alama ambayo ni mfano Tosha kwa jamii, hasa pale wanapo ona mambo...
  17. M

    Na hili liwe funzo kwa CCM, watambue kuwa Upinzani umeshakita mizizi ndani kabisa ya mioyo ya Wananchi

    CCM walijaribu kuja na Siasa za kishamba za kuwanunua Madiwani na Wabunge, kisha wakawarejesha kwenye hizo nafasi kwa kisingizio kuwa Wananchi wao pia walihama nao na hivyo wakawapigia kura. Hebu leo waone wananchi wanavyowasuta kwa kile walicho kifanya. Upinzani umesha jikita ndani kabisa ya...
  18. M

    Maaskofu wangu kwa hili la kudhalilisha mimbari lazima tuwaseme

    Majuzi niliangalia kwa umaskini kitendo Cha viongozi wa dini walivyo dhalilisha madhabahu na kuigeuza sehemu ya kutolea rushwa, inawapasa viongozi wa dini kuwa makini hasa ktk kipindi tunapo elekea uchaguzi mkuu, watakuja wanasiasa kwa kisingizio kuja kuomba mlifanyie taifa maombi, jibu lenu...
  19. M

    CCM mmevuliwa nguo, kubali kuchutama

    CCM wanajaribu kuficha uchi wao kwa majani ya mti bila kuelewa kuwa jua likiwaka hayo majani yatanyauka na uchi wao utaonekana. Kosa kubwa sana mlilofanya ni mtindo wa kuendeasha siasa zenu kibabe; mliwanyanyasa washindani wenu kwa kiwango cha hali ya juu mkidhani kuwa Watanzania walikuwa...
  20. M

    Lissu alisema hatarudi Tanzania kwa kificho, bali atarudi mchana kweupe

    Huyu ndiye Tundu Lissu mwamba wa Kinyaturu. Huyu amezaliwa katika kipindi muafaka, kipindi ambacho nchi inahitaji mashujaa kama hawa ambao wana uwezo wa kukemea hadharani; tena mchana kweupe madhambi yanayofanywa na viongozi wakuu wa nchi hii. Huyu ndiye shujaa ambaye baada ya hao...
Back
Top Bottom