Hakuna kipaumbele cha hovyo kama kulazimisha Taasisi zote za Serikali kujenga majengo mapya Dodoma.
Hela zinazomwagwa pale ndo mana waafrika tunaonekana hatuna akili.
Kama Serikali inaamia Dodoma ilitakiwa Wizara tu ndo zijengwe Dodoma ila kulazimisha taasisi zote kujenga Dodoma ni wehu...
N
Nimependa ulivyomaliza.
Huwezi kuwapa nguvu wanasiasa kuliko wataalam alafu ukabaki salama. Shida ya hii nchi ni wanasiasa na tutakabyoweza kuwabana ndo itakuwa toka yetu kiuchumi
It's very simple nchi ina Katiba na Sheria.
Ndo mana kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kipindi Rais anaumwa the first to be consulted alipaswa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoe muongozo.
Hii nchi inaendeshwa sana kwa utashi wa watu na ndo mana yanakwenda hovyo
Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu...
No wonder nchi hii kuja kuendelea kweli ni pale Mungu atafungua akili zetu na kutufanya tuwaze kwa usahihi.
Umewahi kujiuliza tukipata ukame wa miezi 10 Je tutakuwa na umeme bado?
Kwa akili zenu visoda ndo mana Wanasiasa wanawachezea tu!
Suluhisho la mgawo wa Umeme ni kuwa na vyanzo vya...
Vipi ukitokea ukame ? Hatutakuwa na mgawo?
Akili ya mtu mweusi ni Mungu tu anajua alivyoiumba!!
Badala muweke nguvu kwenye vyanzo ambavyo hata nchi ikiwa na ukamwe mwaka mzima bado tutakuwa na umeme mnaendeleza ujinga ule ule.
Ujinga tu.
Badala wawe creative kutafuta permanent solutions wao kazi yao kutafuta cheap popularity tu.
Sasa ukizuia likizo ndo umeondoa tatizo la umeme nchini?
Nchi yetu ina matatizo ya aina 2
1. Matatizo ya kimfumo ambayo haya chanzo kikuu ni Katiba
2. Matatizo ya kiasili ambayo haya msingi wake ni Ujinga na mada hii ni pana sana.
Ili tuweze kupambana na matatizo ya kiasili ni muhimu na vizuri turekebishe matatizo yetu ya kimfumo ambayo msingi wake...
Kikubwa zaidi Kambona alipinga Chama kuonekana kama a symbol of pride huku kikienezwa nchi nzima hadi vijijini badala ya Serikali kujikita katika kueneza huduma muhimi kama Barabara, Hospitali na Mashule.
No wonder leo kuna maeneo mengi nchini watu wanaenda kwa viongozi wa chama kutatuliwa...
Umeongea vizuri sana mkongwe. Ila umesahau jambo moja. Shida kwenye nchi yetu ilianza pale Nyerere alipokataa mawazo ya watu waliokuwa wanaona mbele kuliko yeye hasa Kambona.
Kwa jinsi Nyerere alivyomfanyia Kambona ndo laana ya hii nchi ilipoanzia. Kama hatujatubu ile dhambi, maendeleo ya kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.