Search results

  1. M

    Kukamatwa kwa Malisa na Bonny kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Wangewakamata tu wakawahoji na kuwapeleka mahakamani. Hizi anafanya siasa. Jeshi liachane na siasa
  2. M

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Dah Hashim bana. 🤣🤣
  3. M

    Punguza unywaji wa pombe, ukiweza acha kabisa

    Hizi ni pombe za viwandani tu amaa unazisema hadi zile zetu local, ulanzi, ugimbi, mbege , komoni, kangala, choya, wanzuki , chang’aa n.k
  4. M

    Kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ni baraka na heri , wapuuzeni wanafiki

    Unaandika tamthilia ama unatazama tamthilia. 😀😀
  5. M

    Punguza unywaji wa pombe, ukiweza acha kabisa

    Hizi maneno wakati tunaishi kwenye jamii watu wanapiga game na wanaenda miaka 90+, wakiwa wapo na afya imara naona mnatuchanganya tu. Wanavyoileta utadhani kila mnywaji atapata hayo madhara kumbe ni 2/10 labda. Endeleeni kufanya utafiti sasa 75mls za konyagi zinafanya nini 😀
  6. M

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Yaani tunapambana kuondoa hivyo vizuizi yeye bado anafikiria.
  7. M

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Wanajiamini, sisi ndio tunawang’ang’ania. Watanganyika tupo kimya ni vile tunawafaidi sana hawa. Wangekuwa wanatunyonya tungeshawatema kitambo.
  8. M

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    hongera kwa Mh waziri, ingawa sijaona mapendekezo ya kushusha bei za nishati hasa umeme na gesi. Tumeambiwa tunaumeme wa ziada hadi mitambo imezimwa. Tushushe bei kuchochea matumizi makubwa ya hiyo nishati huku tukiendelea kulinda mazingira. Pamoja nafasi ya uwaziri ni ya uongozi zaidi lakini...
  9. M

    RC Makonda: Jangwani kujengwa daraja la juu kila upande kuinuliwa mita 300, boti kubeba watalii kuwa kivutio

    Nchi ngumu sana, Makonda aulizwe atakuwa na majibu hizo fedho karibu billion 300 zilienda wapi? Waziri wa ujenzi ajitokeze pia kutoa ufafanuzi. Tanroads pia tunawahitaji hapa. Hatuwezi kuwa tunadanganywa kama watoto 😀😀.
  10. M

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Watu wa hovyo wanapelekeka moto, huko ndo wanakoweza zaidi 😃😃. Sina ushahidi ni mawazo tu kulinganisha na uhitaji wa huo umri.
  11. M

    RC Makonda: Jangwani kujengwa daraja la juu kila upande kuinuliwa mita 300, boti kubeba watalii kuwa kivutio

    Miaka 4 baadae hakuna lolote lililofanyika. Na hizi mvua tunaona mafuriko na barabara kufungwa. Mkoa ambao ni rahis kuyaelekeza maji bahari. Labda tuambiwe bahari ipo juu kidogo dhidi ya hiyo miundombinu ya kupeleka maji.
  12. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leicester nao wamempiga Southampton 5 bila.
  13. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yaan hii Arsenal pamoja na kuwa ndo timu ilofunga magoli mengi zaidi lakini haijaweka top scorer 4 ktk ligi. What a team work. 💪🏼
  14. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu Odegaard tuwaongezee madrid cent kadhaa.
  15. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Martinelli ametuangusha goli la 6. Tunashukuru kwa haya 5
  16. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Clean sheet ndo naililia hapa.
  17. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna game tulizipoteza siku za nyuma zinaumiza sana. Sema ni vile mpira tu. Ila leo ndo zinatuweka kwenye presha.
  18. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😀😀
Back
Top Bottom