Sio kila Mtanzania kasoma kwny shule za ruzuku
nafasi nyingi zinapaswa kuwa za kuomba badala ya za kuteuliwa kuepuka kuwapa watu wasiokuwa na interest
mf.kuna Mabalozi kadhaa kipindi cha nyuma nawafahamu waliteuliwa ili kuwaondoa eneo fulani au kuwakomoa na matokeo yake kule wakaenda kuwa...
Inawezekana tatizo lipo kwny mfumo wa Ajira wa kupata hao madereva.
Mifumo ya Ajira imebuniwa na kwa kusimamiwa kwa namna gani kupata Madereva wenye sifa.
Mie binafsi siamini kama Dereva asie na 'Mkubwa' akawa anajua ana kijiji kinamtegemea anaweza akafanya ujinga wanaofanya wale Madereva...
NHIF wasilete majibu mepesi kwa maswali magumu
NHIF wamewekeza wapi fedha za Michango ?
Wameleta fitna bima za watoto zikafutwa
sasa wanaleta fitna Wazee na wastaafu nao waondolewe
wanataka wabaki na Wafanyakazi pekee ambao rate yao ya kuumwa ipo chini sana kukwepa kubeba gharama za...
Sio over rated bali tuseme Uchoyo na ubinafsi wa Wachawi umeleta nafuu kwa Ulimwengu kwa kuwa Wengi wameondoka na Taaluma zao kama yule Mtaalam wa kutengeneza AK 47 aliesita kufundisha na kuendeleza taaluma ya kuhujumu Dunia na watu wake
Huenda miaka 100 ijayo Dunia ikawa salama zaid kwa kuwa...
Kuna mwenzio alikuwa analeta notes za shule ambazo hata sisi tumepitia
Mtoto wake alipandisha shetani likawa linaongea Kingoni wakati Yeye ni wa Kanda ya Ziwa baada ya kurudi kutoka boarding school
Kitaalam na kisayansi hakunipa jibu chanzo ni nini?
alilegea akaletwa 'fundi' na Jirani mwema...
Buriani Tajiri
kuna Watu walipewa 200 Million na huyu Bepari wajenge visima kwny Majimbo yao miaka kumi iliyopita .
Masikini Sabodo karejea kwa Mola bila ya ndoto yake kutimizwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.