Search results

  1. Zuwenna

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na Kuna jamaa mmoja Yamungu Athumani Huyu naye sijui kapotelea wapi
  2. Zuwenna

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    Itoshe kusema Simba Msimu huu Hatuna Timu ya Ushindani kamwe
  3. Zuwenna

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    Washambuliaji Wanatuangusha kwakweli
  4. Zuwenna

    The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Da Mie bado nipo nyuma sana Hivi mmeshafika Mwaka 2023 na mna Rais Mwingine!! Aisee bado nipo 2021 na Sijajua Mwaka huu Utaisha lini maana kwangu bado Mzito na mrefu
  5. Zuwenna

    Mpaka sasa bado sijaelewa Tumepata faida gani awamu hii naona ni shida tu

    Tulipiga Hatua 10000 Mbele Naona Tumesharudi Hatua 6000 Nyuma sijui mpaka Mwakani Mwezi 12 Zitakuwa ngapi
  6. Zuwenna

    2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Kazi kwao Mie Bado Naomboleza Tokea 2021 Sitaki Hata kuwasikia hawa watu
  7. Zuwenna

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Ametutangulia Mungu Mpokee na Mpe pumziko Jema
  8. Zuwenna

    John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Nimecheka Kijinga yaani kwa Kuandika Ujuaji humu hajambo
  9. Zuwenna

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwingine Alipost Pesta za Ku Dowload kuwa zake Leo Wanasumbuka Kumjibu 😂😂😂
  10. Zuwenna

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahaha
  11. Zuwenna

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi Media Zakenya Vs Tanzania Namba 1-10 Kufuatiliwa Youtube Na Mwaka Chanel imefunguliwa Nchi ipi media yake inawafuatiliaji wengi
  12. Zuwenna

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nilitaka Kuwaeleza hilo kingine Umri Mnapoteza Muda sana
  13. Zuwenna

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hili Lingejengwa Pembeni Kidogo ya Haya majengo yasiwe Pamoja tena Ili Kuweka Mtawanyo wa Jini kwenye Sky
  14. Zuwenna

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Kapombe nimzuri tatizo Amekuwa na Siku Mbaya hivi Karibuni
  15. Zuwenna

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Ambaye hana Furaha ni Yeye Yaani Kufungwa Goli 5 ndio nisiwe na Furaha upuuzi huo
Back
Top Bottom