Search results

  1. Rosweeter

    Shukrani

    Tunashukuru sana kwa mchango wako mkubwa wa hali na mali katika kufanikisha mazishi ya mpendwa wetu CCM yaliyofanyika Arusha mjini tarehe 14 Julai 2013, siku ya jumapili. Aidha shukrani za pekee ziwaendee MWIGULU NCHEMBA, NAPE MNAUYE, MAGESA MULONGO, LIBERATUS SABAS na PAUL CHAGONJA kwa juhudi...
  2. Rosweeter

    Why boat need two engine?

    Its common in the Gulf for boats to have two engines; the question is: Why do these boats have two engines ?? Here's one answer.
  3. Rosweeter

    Hamnichinji ng'o..! Kuleni mchicha

    Ng'ombe kagoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi leo hapa MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi,usiulize kapandeje kule juu, hapa ni S'wanga bwana!
  4. Rosweeter

    Shule ya msingi Muhimbili

    Nimekuwa nikiguswa sana na hali ya mazingira ya Shule ya msingi Muhimbili. Imekuwa ni kawaida kwa maji machafu kufurika na kumiminika katika mazingira ya shule hiyo. Hali inakuwa tata zaidi inyeshapo mvua. Nina miaka saba katika maeneo haya na siku zote hali imekuwa ikijirudia mara kwa mara...
  5. Rosweeter

    Ziara ya Mwakasege

    Ratiba ya mwalimu Christopher Mwakasege inaonesha tarehe 29 Januari 2012 atakuwa Dar es Salaam. Kwa yeyote anayejua juu ya ziara hii ratiba yake na inafanyika wapi naomba anijulishe. Asanteni
  6. Rosweeter

    Mmasai mahakamani

    Baada ya masai kupinga shitaka la wizi lililomkabili kwa nguvu zote, ulipofika wakati wa kujitetea mambo yalikuwa hivi: Hakimu: Mshtakiwa una swali lolote kwa shahidi Masai: Ndiyo bana Hakimu, ndugu shahidi kama uliniona naiba unawesa kuiambia mahakama nilikuwa nimefaa nguo rangi gani...
  7. Rosweeter

    Siipendi tabia hii

    Tabia ya wasichana kuomba omba vocha "Honey, simu yangu haina credit, naomba uniongezee..........." Ningekuwa kidume ningewajibu "Pambaf....... kamuombe baba yako" Wewe ni tabia gani inakukerai?
  8. Rosweeter

    Attention...

    Attention please.....! Don't drink unboiled water.... ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' Because... ' ' ' ' ' Fish live in water without pampers...! Seriously... Good Friday
  9. Rosweeter

    Ujinga wa utotoni

    Nilipokuwa mtoto nilikuwa ninaogoa sana ule mwezi mkubwa wa njano, majira hayo yalipokuwa yanafika nilikuwa nina adabu sana kwani nilikuwa nikikosea tu ninafungiwa nje dk chache tu kama adhabu kwa sababu waliijua weakness yangu, kilio nilichokuwa ninakiangusha hapo siku hizi nikikumbuka nacheka...
  10. Rosweeter

    Miaka 50 ya uhuru

  11. Rosweeter

    Hodiiiii....

    Kama utamaduni wetu ulivyo, ukiingia ugenini niwajibu kubisha hodi. Nimejiunga leo naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom