Search results

  1. S

    FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Ubunge kocha wa wapi?? Kua siriaz au ndo chuki na husuda zimekujaa
  2. S

    Bei ya mashine ya kukamua alizeti. Wenye uzoefu na changamoto zake

    Sina uelewa wa aina za mashine kiongozi labda tuelimishane kuhusu aina unazozijua na CHANGAMOTO ZAKE km wafahamu
  3. S

    Bei ya mashine ya kukamua alizeti. Wenye uzoefu na changamoto zake

    Wadau tufahamishane kuhusu gharama za mashine mpya ya KUKAMUA ALIZETI . Na wenye UZOEFU mtuambie CHANGAMOTO ZAKE
  4. S

    Muongozo wa bei ya trekta kwa ajili ya kilimo

    WanaJf, Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
  5. S

    Hivi ni kweli??????

    Kuna mzee baba apa (muhenga) nimejadiliana nae kuhusu masuala ya kuoa na haswa kwenye uchaguzi wa mwanamke.Ameshauri Ni Bora ukaoa mwanamke mnene kwa sababu asilimia 80% ya mabinti wembaba hua hawaridhiki kwenye tendo la ndoa lakini pia wengi sio waaminifu kwa sababu uvumilivu wao ni mdogo...
  6. S

    Kunani msimbazi?

    Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa...
  7. S

    Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

    Namkumbuka Chinua Achebe na Chief Nanga wake
  8. S

    Cheik Tiote afariki Dunia akiwa mazoezini

    duh hizi habar si nzuri kwenye familia ya mpira
  9. S

    Je, Tutsi ni moja ya makabila ya Tanzania?

    But hope nimekujib mkuu
  10. S

    Je, Tutsi ni moja ya makabila ya Tanzania?

    Rekebixha sperling kwenye title ya thread yako. Kuhusu kuwepo kwa watutsi nchini cyo issue hyo ni impact ya muingiliano wa watu na ni sawa sawa wakamba wanaopatikana tanzania na kenya vivyo hvyo hata hawa tutsi japo kiasili ni watu wa Rwanda lakin kumbuka hata Burundi wapo pia
  11. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo nzega mjini nije dodoma,manyara,pwani,tanga au morogoro idara ya sekondari (0682898976)
  12. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tabora (Nzega town) nije MOROGORO,TANGA,MANYARA au DODOMA. 0682898976 Idara sekondari
  13. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo nzega nije morogoro,dodoma au manyara.ldara ya secondary.0682898976 )
  14. S

    Kuliko ucheze na Waarabu bora ucheze na Shetani.

    hahahahaaaaa mtaisoma namba!!
  15. S

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Nasikia Lowassa anaongoza ila habari zilizo chini ya carpet ni kua tafiti ishachakachuliwa TWAWEZA wamevuta mzigo badala yake CCM inaongoza kwa 68% CHADEMA 22%...shkamoo pesa!!!
Back
Top Bottom