Search results

  1. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuri
  2. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    New structure in progress
  3. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuna chance moja Nunez alipata yeye na kipa nikasema Bismillah Mungu jaalia afunge [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huyu Thiago anarudi lini anaweza kuja kuleta impact kubwa but jwa mechi ya jana laiti Diogo Jota angekuwepo magoli yangepatikana.
  6. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tunahitaji typical defensive midfielder hali ni mbaya leo imekuwa kama bahati tu upande wetu lakini siku nyingine tutapoteza point kizembe
  7. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool imejengwa kwa mechi za aina hii tumefurahi ushindi wa leo lakini hali ilikuwa mbaya.
  8. kengele maziwa

    Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Duuuuuuh hii Kali ngoja niangalie huu mpambano wa jirani
  9. kengele maziwa

    Maisha ya Kamari yamefanya Vijana wawe wavivu, wazembe ,wasofanya kazi Kwa Bidii

    Kubet kumefanya vijana kuhisi MAFANIKIO ni kitu cha ghafla kama chafya vile, kijana akiaangalia mkeka unasoma 5 million kama ukitiki sasa anaanzaje kutafuta kazi na kazi tayari yupo nayo. Ila kwa namna nyingine vijana nao hawaitumii nafasi nzuri ya kubet kujiendeleza kwa kufanya deep analysis...
  10. kengele maziwa

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Caicedo anakaba halafu Enzo ananzisha mashambulizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
  11. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mechi hizi za mid table team ndio za kuchukulia point mdogomdogo
  12. kengele maziwa

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea inatia huruma kabisa
  13. kengele maziwa

    Msaada wa kupata sample of memorandum of association ya hardware business

    Natanguliza shukran zangu za dhati nimeanza kufanya usajili brela ila nimekwama kupata sample nzuri ambayo itafiti kwenye memorandum ya biashara ya hardware. Nimejaribu kugoogle ili niokoe muda na kuweza kuedit kidogo tu, but imekuwa ngumu kidogo. Hivyo msaada wenu wakuu kwenye hili.
  14. kengele maziwa

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Brother Mimi Liverpool lakini hili dili hata sisi bado hatuamini kinachoendelea.
  15. kengele maziwa

    Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Duuuuuuh kumbe nyuma ya pazia mambo yanakuwa hivi, Mungu anatulinda sana [emoji2969]
  16. kengele maziwa

    Hawa ndio wamefanya mapenzi kuwa magumu

    Mkuu unatushauri tuhonge?
  17. kengele maziwa

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Why baba swalehe
  18. kengele maziwa

    Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    Mkuu umeandika nondo za kutosha sana
Back
Top Bottom