Search results

  1. mooduke

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Na wewe unaongea usichokijua Open university imetoa elimu kwa credible individual na wamefanya mambo yanyoeleweka kuibeza taasisi hii ni kwa kuwa huijui.
  2. mooduke

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wewe umeamua kuwachafua wakufunzi wetu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya BSc ICT ninapata ushirikiano mkubwa mno kwa Coordinator wa ICT program Dr Kamaghe na Mwlm Ombeni pia hata Sasa anatoa ushirikiano mkubwa wewe kama una shida zako usichafue taasisi yetu
  3. mooduke

    5G wireless nework is almost here

    The backbone of 4IR is here the new generation of industrial revolution will change the way we live completely
  4. mooduke

    Je, ni nani mmiliki wa hawa wanyama wakati wa enzi za Yesu?

    Mfano usafiri gani wa kifahari uliokuwapo wakati wa Yesu jamani tuache kudanganyana
  5. mooduke

    Kafumania na kapewa mkong'oto

    Hivi hao wanawake sio binadamu kwamba hawajui kwamba wao ni wake za watu mpaka wanaenda kugegedwa na wanaume wengine mbona mimi sielewi jamani inakuwaje ? Afu ukisha jua demu wako anagegedwa nje ya nini kumfumania ili iweje si unamuacha yanaisha jamani kwa nini tunaharibiana sifa mtaani.
  6. mooduke

    Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

    Sasa kama wamenunua kwetu ni jukumu letu kujua wanauza wapi au vipi? nafikiri sisi tushamaliza biashara nao wao waendelee na zao.
  7. mooduke

    Kutokwa uchafu mzito kama maziwa wakati wa tendo la ndoa.

    Dah.... Sio uchafu ndugu hiyo ni kawaida kwa mwanamke yeyote anaefurahia tendo la ndoa sawasawa ndugu .....
  8. mooduke

    Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

    Huoni huo ni ukiukaji mkubwa taratibu kwa mtu asie mhalifu hatarishi kufungwa pingu ni kudhalilishwa
  9. mooduke

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Nani alikuwa mungu ana nywele? Nani alikwambia mungu anazaa kama wewe?
  10. mooduke

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    Ulielewa alichokizungumza? Mbona hata wewe unachanganya lugha hapa kwa hakuna kiswahili cha EAC? acheni chuki za kijinga.
  11. mooduke

    Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

    Hawajui wanapiga tu kelele humu ndani
  12. mooduke

    Rais Magufuli ushahidi mwingine ACACIA/ Barrick wanavyotupiga mgodi wa NICKEL Kabanga mkoa Kagera

    Thibitisha hadaa za Magufuli kwa Watanzania ndugu twende sawa usitulishe matango pori.
  13. mooduke

    CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

    Kwa hiyo ni wajibu kuiga kila wakifanyacho wamarekani sio???? Acha uzezeta komboka jifungue minyororo hiyo ndugu kuwa huru fikiri kambinadamu sio kama mnyama aliefugwa.
  14. mooduke

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Tundu Lissu Bwege anaisaidia nini nchi hii
  15. mooduke

    Mtanzania Anatafutwa kwa utapeli mkubwa Afrika Kusini

    Ndio nashangaa wabongo sijui akili zetu zikoje
  16. mooduke

    Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

    Sasa nyie mnauhakika gani kama yule mchezaji hakupewa KADI ikiwa hiyo mechi haikuoneshwa wala hakuna report nafikiri wa kulaumiwa ni bodi ya ligi na TFF kwa kutokuwa na video ya mechi hiyo.
  17. mooduke

    Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

    Kwani nyie hamna mkanda wa video wa mechi ambayo mchezaji huyo alipewa kadi hizo ?? au mnataka kupiga ramli tu...!!! Kama kuna kielelezo cha mchezo ambacho kinaonyesha mchezaji huyo hakupewa kadi tuleteeni hapa........!!!!!
Back
Top Bottom