Search results

  1. T

    Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    Kama wanaweza kuishi bila kibali ni kwa nini wasumbuke kukitafuta. Nadhani ni muda mwafaka kuwatumia wachina vizuri kutokana na mwitikio wao mzuri wa kuwekeza hapa nchini. Hao NEMC wasiwe robot bali lazima wafanye kazi kwa kubalance mazingira na ajira, uchumi, na maendeleo ya watu kwani kufa...
  2. T

    New African Union HQ Puts All Africans To Great Shame

    Yes your right because we are not doing enough but if you think deeply you will find that many monumbents in China had also been originally built by Russia. From Train-stations, rockets, tucks, etc. Not only that, its only two yrs ago Western AID to China was cut.
  3. T

    Kwanini Mwl Nyerere aliwauzia Waingereza Mgodi wa Almasi wa Mwadui Shinyanga?

    Mshukuru Nyerere wewe mpaka alikupa peremende ya kunywea chai, la sivyo ungekua hupumui sasa hivi.
  4. T

    Kumchagua Kinana Katibu Mkuu kunadhihirisha CCM inasimamia maslahi ya nani!

    Kuna utofauti. Clearing and forwarding company ana document na ku-clear mzigo bandarini ili kuu-forward uendako. Lkn anaye book container tupu toka kwa shipper, stuff and ku-seal kabla ya CLEARING agent kukutana container lenye mzigo ndie mhalifu. Sasa aliye book container tupu toka kwa...
  5. T

    Si kweli? Watanzania wachambwa: Kiingereza, Wizi, Viongozi kujipendelea...

    Chunguza zaidi, huko kote Kiingereza ni nambari wani bila hivyo mambo yasingeenda. Ili mradi kila utakacho kipo kwa Kiingereza, huna kwa kukimbilia kwingine. Tatizo hapa CCM imeondoa nidhamu ya kila kitu. TZ hakuna nidhamu hata iwe kwa kutumia Kiswahili ama Kiingereza, ama kikabila, hata...
  6. T

    Kikwete fails to convince Canadian media on Serengeti Highway plans

    Mimi naona sisi kama nchi ndio tuamue - tukisema faida ni kubwa kuliko madhara basi na watusikilize. Mungu aliumba Dunia, na awali wanyama walitapakaa Dunia nzima, je huko kwao waliwapeleka wapi? Hakuna project iliwahi pingwa kwa nguvu na Westerners kwa misingi hiyo hiyo km The Three Georges...
  7. T

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Nyangi: Sasa kwa nini utoke mbali na kutembelea kaburi la BABA WA TAIFA mikono mitupu - hiyo si heshima kwako, na si mila zetu TZ na ni aibu kubwa kwao na taifa - taifa gani mnaopenda bure hivyo?. Kama Nyerere hakuzikwa chini ya mgomba basi kaburi litahitajia gharama za matengenezo baadaye pia...
  8. T

    Revealing: Nani wametoa vibali vya kuishi/kufanya kazi kwa watu hawa?

    POLISI na UHAMIAJI wapo macho na hawajashindwa kuwatambua hao wahamiaji haramu, lkn sote tunajua kwa nini hawawakamati - kwa kua wamefanya ndio maduka yao ya kuchukua pesa na kila Polisi/Uhamiaji ana wachina wake, wahindi wake, nk. Sio Polisi tu, pia siasa za makabila na udini Tanzania...
  9. T

    PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

    Protocol rasmi imekua hivyo? basi ni kwa ajili ya kumlainisha.
  10. T

    Bombshell to Zitto Kabwe? John Mashaka amshambulia Zitto dhidi ya Prof. Muhongo

    Yes it is a political stunt - and the minister know it: At first place why contracts were signed without proper assessment? - who are these guys who make and/or sign these contracts? One thing for sure they are CCM and obviously if not insane, they smoke lots of ...... - all day.
  11. T

    Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

    Nina marafiki Madaktri wengi tu na hua nachukia sana wanapokesha kwenye ulabu, kwa changudoa ama kwa wagonjwa wao waliogeuzwa vimada - hua naona wamekosa maadili mema. Sasa huyu daktari wako tayari umesema anakunywa pombe 24hrs/7days (pays cash ama anakopa?) kumrudisha kazini ni sawa tu na kuua...
  12. T

    Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!!

    Kwa nini TZ nayo isitafute kampuni za kutafuta hiyo gas kwenye upande wake wa ziwa - asiyeridhika ndio aende kwenye SHERIA. Kuzichapa sio jibu hasa ukifikiria HASARA zilizopo pia kua itabidi kwenda kukopa silaha China ama Urusi - tukiwa na vita na bei ya silaha kwa mkopo tutabandikiwa ya juu...
  13. T

    Mgodi wa Barrick (Bulyanhulu) wafungwa; kisa NSSF na PPF, wafanyakazi wako tayari kupoteza kazi!

    Si rahisi maana kuajiri nayo ni kazi ngumu, sasa ni nani anataka kujiongezea kazi. Pia kupoteza wazoefu wa kazi ni hasara kwa kampuni.
  14. T

    How Mandela Sold Out Blacks!

    China/Taiwan and others without mercy are copying, mass producing and exporting African-handcrafts, and other products to western markets. To make things worse they buy our raw materials only. East can not make it without the West, and so is Africa. West can process products in foreign lands...
  15. T

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    MMJ: Mimi naona kuunganisha Tanganyika na Zanzibar ni very unpractical tokana na matokeo mabaya ya kiuchumi UNDER CCM government. Ikiwa tutaungana, Tanganyika ambayo ni kubwa sana lkn ni maskini sana sana hivyo mwali Zanzibar watakua na kinyongo cha kumezwa ama kuolewa na maskini - ambapo...
  16. T

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Waligoma ili kuyapa majadiriano nafasi, lkn kama kawaida majadiriano serikali ya CCM yamewashinda matokeo ni DRs kuondoka.
  17. T

    Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

    Na jamhuri ya Kiislam? - nafurahi TZ bado haijawa jamhuri ya Kiislam, na naamini Uingereza itakua Jamhuri ya Kiislam kabla ya TZ. Mahakama ya Kadhi sawa tu na Mahakama za Upatanishi ama za Madai zinazofanywa nje ya Mahakama ya Sheria za Nchi. Hizi mahakama zinaweza kuendeshwa na dhehebu...
  18. T

    Sheria ndani ya dini ya Kikristo (Mahakama)

    Uislam na Ukristo je ni kama vyama vya siasa? Dini ya kristo haina haja kushindana na dini ya Kiislam kwa kua utaratibu wa mafunzo na imani ni tofauti pia. Waislam wana uhuru wote chini ya TZ huru hivyo wafanye ya kwao, nao wasiingilie imani ya watu wengine. Lakini hua nashindwa kuelewa chombo...
  19. T

    Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    Hivyo tuwaponde mawe? Kama ni makosa ni ya mume na mke.
  20. T

    Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    Daktari si bora kuliko wengine, ila tatizo serikali ya CCM haikutoa hilo somo kwa madaktari mapema likaeleweka. Muda mrefu serikali ya CCM imekuwa party na wamekua mfano mbaya kwa Madaktari na raia wengine - labda tusubiri hang-over ya Serikali ya CCM iishe.
Back
Top Bottom