Search results

  1. naumbu

    Exim bank kuweni serious na wateja

    Merry Xmas wanajamii! Nina kero na hii Bank ya Exim kama imechoka kufanya biashara isijitangaze,hii Bank Ina ATM chache na hizo hizo nyingi unakuta hazifanyi kazi.Jana watu walikua wanazunguka jiji la Dar kutafuta ATM ambayo inatoa pesa lakin mpaka imebidi tufanye...
  2. naumbu

    Tamko la familia iliyopata mkasa wa mauaji Ilala juzi

    TAMKO LA FAMILIA ILIYOKUMBWA NA MAUAJI JUZI JUMANNE UKWELI KUHUSU CHANZO CHA MAUAJI HAYO. Juzi jumanne asubuhi hapa Dar es salaam kulitokea tukio la kutisha la mauaji na kuliacha jiji hili la Dare es salaam na maswali mengi na kila mtu kusema lake.Tukio hilo la kutisha liliikuta familia ya...
  3. naumbu

    Wakati Boss akiwa na kashfa ya kubaka;Mwanamuziki wa Akudo akamatwa na Madawa ya kulevya China

    Rapper Canal Top wa Akudo Impact ambaye mmiliki wake ni Prof Kapuya inasemekana amekamatwa China akiwa na Madawa ya kulevya stay tuned kwa habar zaid source;mwanamuziki mwenzie wa Akudo
  4. naumbu

    Simba imezuiwa hotelin kwenda uw/Taifa kwa deni

    Wekundu wa msimbaz wamezuiwa kutoka kwenye hotel ya Sapphire court ya kkoo had walipe deni,Simba walikua wanatoka kwenda kuwavaa coastal union. Viongoz wanahaha kuitoa timu iwah mechi. source;mmoja wa wachezaj wa Simba
  5. naumbu

    Hans Pope ajiuzulu vyeo vyote Simba

    Mwenyekiti wa kamati ya usajili na Friends of Simba Zacharia Pope,amejiuzulu vyeo vyote Msimbazi.Naona bundi ndio anaanza kulia kwa wazee wa libolo. source:bin zuberyblog
  6. naumbu

    Kibwana Dachi wa magic fm umehongwa au umetishwa?

    Huyu jamaa toka kitokee kifo cha Daud Mwangosi amekua akililaan sana tukio lile na jeshi la polisi kwa kupotosha ukweli,lakini kwa mshangao leo asubuh kwenye kipindi cha asubuh nadhan kinaitwa good morning magic amedai hakuna haja ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kujiuzulu kwa sababu mh...
  7. naumbu

    Watu wawili wanaodaiwa kutaka kumuua Ali Kiba wasema walitumwa na TID

    Mnyama ana tuhuma ya kumtumia msichana ili amuue ali kiba,amehojiwa na clouds fm akiwa kituon na kukanusha madai hayo na kusema hajui chochote na he has nothing against ali k,hawajawah kugombana na anashangaa sana. Source:U heard ya clouds fm
  8. naumbu

    Sheria ya retrenchment inasemaje?

    Wadau wa sheria, je sheria inasemaje kama mwajiri ameamua kuuza taasis yake kwa mtu mwingine na makubaliano yao ni kuwalipa mafao yao waajiriwa kabla ya kuuza!sheria inasemaje kwa watu ambao bado wana mikataba na hawakupewa 3 months notice ya kuvunja mkataba?
  9. naumbu

    Uliyo nade comrades

    Mambo vp! mi mgen hapa mjin, so I expect u kunionyesha jua linatokea wap?am NAM angel sina sides nasimama kwenye ukwel tu
Back
Top Bottom