Search results

  1. L

    Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Mtimbie ofisini kwake kwa nn hakulipi na kazi zake unamfanyia!!!
  2. L

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Defence mechanism!!!
  3. L

    Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    Tatizo nini hukupata demu mwenyewe umesema wanawapenda watanzania!!!
  4. L

    Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

    Aina za mofimu daaaah utaskia sentensi changamano!!!
  5. L

    Times FM: Asilimia 90 ya Watanzania wanaifuatilia Yanga tu

    Wanazo sababu ya kuyasema hayo maana kwenye mechi zao mbona kunakua na mapengo ya watazamaji, week end hii wana mechi kubwa dhidi ya mamelodi ndo kwanza jukwaa la mzunguko wanaingizwa bure 90% inakujaje hapo!!!
  6. L

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Kwa hiyo unataka mwanamke akuongoze???
  7. L

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Tutajua alikua anataka kupata burudani ya macho!!!
  8. L

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Usisahau kwamba kwao kukiwa na njaa tunawapelekea mahindi washibe washenzi hawa!!!
  9. L

    Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    NI wakati ambao unaugua zako kisukari unahitaji chakula bora halafu mwanamke anakuambia wako wapi malaya zako........ duuuuh mke wangu moyoni mwako ndo uko hivyo????
  10. L

    Wanaume, kitanda hakizai haramu bwana!

    Hata ukipewa hela lazima uhesabu ili kuhakikisha!!!
  11. L

    Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

    Na mimi nisaidie pass akikupa bwa shekhe kizuri kula na ndugu yako!!!
  12. L

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Sasa wewee kukataza mwenzako asile eti kwa sababu wewe umefunga hio ni akili!!!
  13. L

    Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Msamehe tu, watoto wa mjini wanasema mkaushie, bangi za ukubwani zina shida sana!!!
  14. L

    Ukistaajabu ya Ten Hag na Cristiano, utakutana na ya Capello na Ronaldo

    Daaaah unalikumbuka goli la kwanza alipiga upande uleule aliojaa Barthez na goli likaingia, goli la tatu jeee Kocha Vicent del Bosque alishangilia kwa kumwambia Ronaldo ana akili ile anafanyiwa sub mashabiki wa Man U walisimama kumpa heshima yake huyo ndo Ronaldo de Lima!!!
  15. L

    Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

    Mechi ya kimataifa wanaingizwa bure wamezoea kuingizwa bure ha ha haaaa!!!
  16. L

    Tuonyeshe tofauti katika picha hizi

    Picha ya Rais Samia haijaonekana sehem zote!!!
  17. L

    Picha: Je Mfalme Charles amekosea kupokea nyaraka za Balozi Kairuki kwa mkono wa kushoto?

    Anayetoa anatoa kwa mikono miwili lakini mpokeaji kwa mkono mmoja tena wa kushoto!!!
Back
Top Bottom