Search results

  1. salisalum

    Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Haya ni maoni kikada, carefully crafted. Unataka kutuweka kuwa victims wa ujanja ujanja wa CCM.
  2. salisalum

    Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    This version was echoed in #Mariaspace word to word by someone calling himself as TanzaniaAbroad TV.
  3. salisalum

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unaongea kwa uhakika sana mpaka unaanza kusema uongo.
  4. salisalum

    New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

    I hope you haven't so far regretted for this statement.
  5. salisalum

    Alphonse Chilato? Ni nani?

    Mfumo huu ni pyramid. Tatizo ni pale watu wenye appetite hiyo watakapoisha. Wale wa mwisho chini watafanyaje kurudisha pesa zao?
  6. salisalum

    Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

    Huu ni ushauri wa kitasnia au wakisiasa? Mnataka ku-limit damage na aibu mnayoipata kutokana na Cross examination mahiri?
  7. salisalum

    Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

    Hongera sana JF pamoja nanyi tutafika mbali.
  8. salisalum

    Profesa Anna Tibaijuka: Kumaliza tatizo la machinga kuwe na adhabu iwekwe kwa wanaonunua ovyo barabarani

    Ukinunua bidhaa dai risiti ukiuza bidhaa toa risiti. Naunga mkono hoja ya Prof.
  9. salisalum

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Mnaotaka kujaribu zingatieni sharti na kigezo cha kwanza. Msikurupuke tu.
  10. salisalum

    Barrage Jammer

    Mtakumbuka gari moja jeusi lenye antenna kibao lililokuwa likiambatana kwenye misafara ya rais mabarabarani. Hili gari lilikuwa kwenye misafara ya Rais Magufuli enzi za uhai wake. Nimeshindwa kuweka picha hapa ya gari hilo. Huo ni mtambo maalum wa kuzuia simu za mkononi eneo analopita rais...
  11. salisalum

    Kama CCM wakifuata utaratibu wao wa kutompinga Rais aliyepo katika kuteua mgombea, basi Samia Suluhu anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14

    Ungepitia katiba kwanza kabla ya kutoa maoni haya. 40.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho. (2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais. (3) Mtu aliyewahi kuwa...
  12. salisalum

    Ikitokea Tundu Lissu anateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko mbeleni, utaunga mkono?

    Mnahangaika kujadili halafu anakuja kumteua profesa Lipumba.
  13. salisalum

    Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

    Kwani nini mitandao maidharau sana ili hali mko bize kutoa maoni yenu humu? Mmesau jinsi ufisadi ulivyoibuliwa kupitia JF na kuidemsha serikali ya JK? Mitandao ndipo pahala sahihi kwa sasa kupata taarifa na Rais yuko sahihi na ni faraja kwetu kwamba anatusoma na kuyachukulia siriazi maoni yetu.
  14. salisalum

    Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Kwa hiyo mnaona Mwanza hatutakiwi kuwa RPC jembe?
  15. salisalum

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Ndugu Missile uko sahihi kabisa!
Back
Top Bottom