Search results

  1. syllae

    Plot4Sale Eneo linauzwa Itezi Uyole

    habari ndugu wa jf. nina eneo langu lipo Itez Uyole Mbeya karibu na reli,lina ukubwa wa 60x125mita naliuza kwa bei ya 23 milion.eneo halina hati ila lina documents zote zinazo support na kuonesha kama mmiliki ni mimi,pia kwa kujihakikishia kabla hujanunua tunapata kibari kutoka kwa mwenyekiti...
  2. syllae

    Msaada wa mawazo na mafundi katika kampuni

    Habari zenu wadau wa hili jukwaa. Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata kuajiriwa katika kampuni tofauti tofauti ila kampuni iliyonipa uzoefu ambao ukanifanya na mimi kuvutiwa...
  3. syllae

    Uyu mc pilipili hazimtoshi

    Kwa mnaosikiliza leo tena ya clouds fm najua mnamsikia. Uyu jamaa dah kweli wanaume wachache saan siku izi.uyu hamnazo yaan kujieleza hawezi, anaulizwa vitu full kuzunguka tu dah Anyway ni part ya kufurahi pia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. syllae

    Shida: Kusumbua kwa baadhi ya hatua katika kuomba mkopo kwa watu wa form six

    Habari ndugu zangu humu ndani Kuna tatizo limenikuta hapa katika kujaza fomu online ya kuomba mkopo kwa watu wa form six. Kuna step nikifika inagoma kuendelea namaanisha haifunguki tena. Ni kuanzia step 10. Naomba msaada wenu kwa anayefahamu
  5. syllae

    Nauliza lain ya mpesa

    Habarini Kam kichwa kinavojieleza nauza lain ya mpesa bei ni 150000tsh. Haina tatizo lolote na ina document zote za muhimu ,,,napatikana ubungo maeneo ya kona Mawasiliano 0752402586 0716058858
  6. syllae

    Tuchat tuliopo kwenye mwendokasi mda huu

    Habari zenu wana jf Kam kichwa kinavosema tunaweza kwa tuliopo kweny mwendokasi mda huu tumaweza fanya maongezi Nb: Uzi huu utakua unafanya kazi watu mkiwa kweny mwendokasi ukishuka sign out na wengine waendelee
  7. syllae

    Hawa waganga WA kienyeji wanatoa wap Namba zetu?

    Habari za asubuhi wadau WA hapa jf Leo ni Mara kam ya 5 kam sio ya 6 napata meseji kutok kwa hawa jamaa Ila ii ya leo ni Nouma San,nisaidieni kumjibu uyu MTU * kaka nashukuru sana kwa mtaalam ulie niletea na sasa baba kapona kabisa na nikujulishe kuwa nimeludishwa kazini na mke wangu katulia...
  8. syllae

    Namna ya kuendesha website na gharama zake

    Wakuu wa jf habarin za mchana Nina wazo LA kuwa na website na nimeshatafuta watu kam watatu wa kushirikiana nao hawa ni wa computer ila Nina duku duku katik upande wa mbele wa muonekano na ni jinsi gan ntaiendesha.kuhusu kuwa na web sio kazi ila kazi ni katik kuiendesha na kufany watu...
  9. syllae

    Kupiga chini system ya Nokia Lumia 2520

    Habari zenu wadau Niende kwenye lengo. Ninahitaj kwa anaefahamu jinsi ya Kupiga chini system ya Nokia Lumia ambayo window ake unafny kazi Kam window za kawaida Yaan 8.0 ila hii ni RT. Hii window haikubar kuingiza program ambayo IPO nje ya store yao Kam ilivo kwenye simu za Lumia. Msaada...
  10. syllae

    bagdad ft roma-k

    Wadau adjez??? Ivi haw Jamaa Na wimbo wao k walikaa wap Na walikua wanawaza nini????? Kweli mjin uje Na akil tabia utaikuta uku uku kama k ya kweny wimbo wao
Back
Top Bottom