Search results

  1. syllae

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hongera san mkuu Naamini umefanya kitendo cha kiungwana san na uendelee na roho iyo iyo kwan Mungu atakusaidia
  2. syllae

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Dadeki.coz hajasimulia muda alokua anaenda toi au sio. Kwel bora wali nyama kuliko wali-mwengu
  3. syllae

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ongeza bosi wangu.wengine tupo lindo bora tuendelee kulinda uku tunfupisha usiku
  4. syllae

    Kilimo cha miti hakina faida kwa sasa. Ni biashara kichaa!

    Eneo ulipo eneo ni sh ngap?na ni iringa sehem gan?
  5. syllae

    Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Elimu ya fedha ndo kitu tumekosa mzee nikiwepo ata mimi. Kuna coin niliinunua kwa 100usdt sasa ikapump ikapiga hadi 1500usdt.nikatoa 715usdt aisee ile ela niliichakaza haikukatisha giza mbili.
  6. syllae

    Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Bitcoin alibaba tena?? Nambie uliziwekaje uko bosi?? Maan uelewa wangu btc ni rahisi kutoa kama unamiliki exchange kama mexc,hotbit,binance Eh uko imekuaje kuaje??
  7. syllae

    Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Duh.jaribu ku google uone unyama wa harrier na bei zake alaf urudi kuleta mrejesho
  8. syllae

    Plot4Sale Eneo linauzwa Itezi Uyole

    habari ndugu wa jf. nina eneo langu lipo Itez Uyole Mbeya karibu na reli,lina ukubwa wa 60x125mita naliuza kwa bei ya 23 milion.eneo halina hati ila lina documents zote zinazo support na kuonesha kama mmiliki ni mimi,pia kwa kujihakikishia kabla hujanunua tunapata kibari kutoka kwa mwenyekiti...
  9. syllae

    Kilimo cha miti, hasa Mitiki

    wadau kama kuna mtu anafahamu ma group ya whatapp yanayohusika na kilimo cha miti na parachichi naomba anipe link .shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. syllae

    Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    nakushauri fanya kitu icho icho ambacho kimefanya upate iyo hela.
  11. syllae

    Gharama za kufungua kampuni

    kama upo tayari nina jamaa zangu ndo kazi zao na ofisi zao wapo jengo la posta dsm opposite na wizar ya mambo ya ndani pale 4th floor room no 1207 kama unahitaji mawasiliano yake ni 0712685025. unaweza mpigia na ukamuuliza kwani anatoa na ushauri kabisa.
  12. syllae

    Visa vya mapenzi visivyosahaulika

    duh kanakwamba kuna siku utafuata mtoto wako kwake au sio
  13. syllae

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    umefikia wapi?
  14. syllae

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    mzeebaba hamna sababu ya msingi mpak sasa kwan inadaiwa aliepigwa/aliepiga wote hawajuani kabisa na hakukuwa na fujo baina yao.
  15. syllae

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    unatakiwa uwe na nin na nin ili umiliki mguu wa kuku madam??
  16. syllae

    Kaini alipata wapi mke wake?

    lakin mkuu mbona biblia iyo iyo imemtaja "Hawa"?? ilhali ni mwanamke?? mbona kuna sehem nyingi tu wanawake wametajwa tena kwenye agano la kale.
Back
Top Bottom