Search results

  1. J

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Ok. Ndio Wakati mwingine hutokea na pia wakat mwingine tumbo kuunguruma!
  2. J

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Tatizo lilianza takribani miez2 iliyopita, niligundua wakati wa kuflash toilet. Inatoka dam fresh na hakuna maumivu yoyote wakati wa haja kubwa. Damu inatoka mwishoni kabisa wala haichanyiki na mzigo unaotoka!
  3. J

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
  4. J

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nauliza hivi tatizo la kutokwa na damu wakati wa kumalizia haja kubwa ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Hali hii hunitokea walau mara moja ndani ya 24hrs. Pia tiba yake ni nini?
  5. J

    Tecno m5

    Hiyo kawaida sana kwa hizo operating system! Kupunguza labda washa internet tu pale unapohitaji kuitumia.
  6. J

    Ajali mbaya karibu na mizani ya Dodoma: Inahusisha Gari la JWTZ na Bus la Mohamed

    Ebu tujuze, mohamed trans ilikuwa inatoka wapi kuelekea wapi?
  7. J

    Natafuta gx100 toyota cresta ya kununua kwa mtu

    Ninazo mbili na gx mark II moja. Karibu
  8. J

    Msaada wa M-Pesa

    TIN huwa ni free kutoka TRA pia waweza jaza fomu online kupitia www.tra.go.tz. epuka mawakala uchwara!
  9. J

    Msaada wa salary slip

    Mwajiri wako anajua? Mwandikie maana ni haki yako!
  10. J

    Msaada wa salary slip

    Duh! Payslip au control sheet! ?
  11. J

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Nashauri mheshimiwa apinge dhidi ya takwimu zilizotolewa badala ya kutoa maelezo ya jumla. Mfano: tarehe fulani sikukuta na fulani sea cliff siku hiyo nilikuwa jimboni..., simu yangu namba fulani haijawahi kutuma mpesa kwa namba fulani ....n.k mbona ni mh ni mchambuzi mzuri wa mambo? Na kwa hili je?
  12. J

    Tahadhari kwa wanaotafuta Ajira (Soma Tafadhali)

    Ni tatizo la TCRA kushindwa kudhibiti usajili wa simu!
  13. J

    Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    Ni nzuri ila inaboa!
  14. J

    msaada:TUITION PROVIDERS FOR NBAA EXAMINATIONS.

    Ebu fuatilia pale Chuo cha Ujenzi - Mzumbe Campus unaweza pata mwelekeo wa hilo.
  15. J

    CWT ya Tanzania imejifunza nini kutoka kwa "CWT" za Kenya na Uganda ?

    CWT is adopting the so called HALF STRIKE!!!! na kwa hivo kufanikiwa si rahisi!!!!!!
  16. J

    Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

    POLENI WALE WENYE KING'AMUZI CHA CONTINENTAL!!!!!!! Ni mambo ya digitali
  17. J

    Biashara ya Madawa ya Kulevya: S.H. AMON atajwa!

    Dah!!!...yule wa pale USHIRIKA TUKUYU?????
  18. J

    Kashfa kwa wa Tz mitandao ya Kenya

    haaa......haaaaa.....KISA KUWANYANGANYA OBAMA AU?
Back
Top Bottom