Search results

  1. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Asante, maongezi yapo, Karibu.
  2. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Huku hakuna uswahili ndugu yangu njoo ujionee mwenyewe.
  3. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Achana na Imani hizo ndugu yangu. Imani yangu hainiruhusu kabisa kufanya hivyo.
  4. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Mazungumzo yapo jamani karibuni kuiona nyumba hautajutia kutoa hela yako.
  5. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Ni umeme wenye nyaya nne yaani laini mbili. Ukikatika laini moja unaswitch laini nyingine au unaweza kuzitumia zote mbili kadiri upendavyo.
  6. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Karibu kwa mazungumzo hatutashindwana
  7. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Karibuni sana Jamani maongezi yapo, msiogope bei
  8. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Asante kwa wazo hilo
  9. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Nimeongezea kiongozi karibu.
  10. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba
  11. C

    Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

    Nauza nyumba yangu nzuri sana ipo buyuni/Italiani barabara ya pugu kwenda chanika. Mitaa imepangika na kiwanja kimepimwa.Nyumba no: ni Block 1 plot no 7 mtaa wa Kigezi Buyuni Wilaya ya Ilala. Nyumba ni kubwa na ni 2 kwenye kiwanja kimoja. Nyumba kubwa ina vyumba vinne vya kulala kimoja master...
  12. C

    Karibu tukuhudumie kwenye sherehe yoyote

    Kampuni ya EDADE'S Decoratiion, Catering, Cake, MC na muziki inakukaribisha wewe mteja kukuhudumia kwa gharama nafuu kabisa haijawahi tokea na huduma zote ni za uhakika na zakuvutia hatubahatishi. Mapambo yanaanzia 350,000/- Unasema mwenyewe unataka upambiwaje.Vyakula vya aina zote, hata vya nje...
  13. C

    Karibu tukuhudumie kwa yote

    Kampuni ya EDADE'S Decoratiion, Catering, Cake, MC na muziki inakukaribisha wewe mteja kukuhudumia kwa gharama nafuu kabisa haijawahi tokea na huduma zote ni za uhakika na zakuvutia hatubahatishi. Mapambo yanaanzia 350,000/- Unasema mwenyewe unataka upambiwaje.Vyakula vya aina zote, hata vya nje...
  14. C

    CHAGUA KILICHO BORA ZAIDI KWA BEI CHEE KABISA

    Karibuni ndugu zangu kwenye huduma za bei nafuu kabisa za Mapambo,Chakula, Keki za sherehe za aina zote, MC na Mziki. Kama una harusi, send-off, kitchen party, kipaimara, ubarikio, maafari ya aina zote, na sherehe zingine zote hadi misiba. Hakuna kushindwana kwenye bei kwani kila mteja...
  15. C

    Nahitaji gari ya kukodi Jumamosi

    Nahitaji gari ya kukodi, yaweza kuwa Vitz, corolla,Rav4, Carinaa,IST au gari yoyote nzuri. Ofa yangu ni 20,000-25,000. Mafuta naweka mwenyewe. Nipo Dar na nahitaji kwaajili ya mizunguko ya Dar kwa siku hiyo. Aliye naye anitafute kwa namba hii 0717441943.
  16. C

    Nahitaji gari Harrier namba C. Ofa 11,000,000

    Wandugu nahitaji gari aina ya harrier namba C kwa 11,000,000. Aliyenayo au anayejua mtu anauza anicheck kwa namba 0717441943.Nipo Dar
  17. C

    Nitafutie Kazi Za Photography Na Video Shooting (20% YAKO)

    Good. Vp na projectors unazo?
  18. C

    Ninauza Ovena kwa bei rahisi

    So Sorry nipo Dar es salaam
  19. C

    Ninauza Ovena kwa bei rahisi

    Ninauza Ovena aina ya STERLING ni nzuri na inafanya kazi kama kawaida. Naiuza kwasababu ninashida sana. Bei yake ni 200,000 tu karibuni sana. Kwa mawasiliano piga 0717441943 na 0655441943 na 0764596665.
Back
Top Bottom