Search results

  1. F

    NAKULA UJANA WANGU DAR ES SALAAM

    Vp Washikaji? Hili jiji lenu la Dar Es Salaam limenifurahisha kweli. Its the most lively city on the eastern side of Africa. Nakula ujana wangu Dar na nimepapenda kweli. Nashukuru mungu kwa kuliumba hili jiji. Baadhi ya mambo yanayofanya nipende Dar: 1. Beach, ingawa beach zenu wabongo ni...
  2. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Vp washikaji? Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major...
  3. F

    Dar Es Salaam makao makuu ya raha

    Mimi Mkenya ila nimeishi huku Dar kwa miezi saba na nakwambia hamna sehemu East Africa yenye raha kama Dar Es Salaam. Nimeshindwa kurudi Nairobi kwa kweli.......Dar kando na the few issues like foleni na uchafu, am liking and liking the place as days go by. Hamna watu waafrika wamewafikia...
  4. F

    Natafuta gari aina ya volkswagen beetle mjini Dar

    Vipi washikaji wangu? natafuta gari aina ya Volkwagen Beetle, zile model za 1960s na 1970s!!isizidi milioni mbili na iwe condition nzuri.
  5. F

    Nilifika Dar Es Salaam salama.

    I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the morning and arrived in Dar Es Salaam at 00:10 A:M a journey that took about 18 hours!! I never...
  6. F

    Basi lipi zuri la kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam?

    Hamjambo wenzangu? Natumai kusafiri on Teusday ama Wednesday Kutoka Mwanza kuelekea Dar. Naomba mniambie ni basi lipi zuri lenye comfort kabisa na ambayo iko condition nzuri ambayo haitofanya nichoke sana safarini. Nayoulizia ni mabasi ya kisasa na yenye reputation nzuri tu. Comfort and Luxury...
  7. F

    Ninamtafuta dada aliye Dar es salaam

    Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach, sehemu za kuburudika na chochote kile cha kuvutia jijini Dar.
  8. F

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    I have spent quite some time in Tanzania: Dar, Mwanza and Arusha and i have interacted with so many Tanzanians. I have also been able to interact with so many of them on social media and i have come to learn one thing, the learned Tanzanians tend to hate Kenya and Kenyans. The illiterate...
  9. F

    Looking for a lady friend in Mwanza

    I am 3 months old in Mwanza. I am 26 years old working in Mwanza and i would like to meet a lady friend of any tribe, age and build. Am finding it quite lonely going to work and going back to the house after work. Am 26, dark and of average height and build. I am not a drinker, though i go out...
  10. F

    Looking for a fridge and Television to buy in Mwanza

    Natafta Friji na Televisheni ya flat screen ya kuinunua huku Mwanza. Nataka second hand ama mpya bora tu zinafanya kazi vizuri. Any link to a shop or second hand dealer will be appreciated. Asanteni sana
  11. F

    Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

    Hamjambo wenzangu! Mimi ni mgeni kwenye hii forum na nimekuwa nikisoma issues tofauti na kwa kweli Jamii Forum haiwezi kulinganishwa na forum nyingine yoyote kwa sababu ya ubora wake. Nashukuru sana kuwa nimejiunga. Nataraji mmenikaribisha. Mimi mwenyewe mkaazi wa Mwanza. Hii biashara ya...
Back
Top Bottom