Search results

  1. F

    NAKULA UJANA WANGU DAR ES SALAAM

    Vp Washikaji? Hili jiji lenu la Dar Es Salaam limenifurahisha kweli. Its the most lively city on the eastern side of Africa. Nakula ujana wangu Dar na nimepapenda kweli. Nashukuru mungu kwa kuliumba hili jiji. Baadhi ya mambo yanayofanya nipende Dar: 1. Beach, ingawa beach zenu wabongo ni...
  2. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Hhahahahaha, naomba Naomba utupe ufafanuzi zaidi kuhusiana na hii issue ya kuwa makini kwa sababu its like u are really very cautious
  3. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Gemstones za Tanga au za Arusha?
  4. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Duhh, so demand imezidi supply au imekuwaje?
  5. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Bi la shaka, nakupigia kesho
  6. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    B Basi i tink we share dreams and ambitions, tuchangamke basi
  7. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Dada, unan Dada, unanunua au unauza?
  8. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Duhhh, hizo conditions zinatisha sana mkuu, ila ndio uhalisia wake huo!!
  9. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Thanks bruhh, you are great! asante kwa advise yako na kwa muda wako, i really appreciate. So issue kubwa sana ni kutapeliwa na kuuziwa gold fake? kunazo mbinu kadhaa najua za kujua kama ni gold kweli au ni fake. Kwa mfano: 1. If u scratch gold on an enamel material, kama zile sahani au vikombe...
  10. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    saw Horseman, i will call you tomorrow. Thanks.
  11. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Asante kwa response yako mkuu. Ila mimi sikutaka kuhusika na ununuzi na uuzaji hapa Dar, nilitaka kusafiri kwenda mkoani na kununua kule kisha kuuza huku. Kuna mnunuzi anayejulikana sana hapo mjini
  12. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Asante kwa advise yako, i will surely do so.
  13. F

    Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

    Vp washikaji? Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major...
  14. F

    Dar Es Salaam makao makuu ya raha

    Mimi Mkenya ila nimeishi huku Dar kwa miezi saba na nakwambia hamna sehemu East Africa yenye raha kama Dar Es Salaam. Nimeshindwa kurudi Nairobi kwa kweli.......Dar kando na the few issues like foleni na uchafu, am liking and liking the place as days go by. Hamna watu waafrika wamewafikia...
  15. F

    Bei ya kiwanja na ukubwa wake

    At least 30 by 25
  16. F

    Natafuta gari aina ya volkswagen beetle mjini Dar

    saluti, shukran man. ntakuja
  17. F

    Natafuta gari aina ya volkswagen beetle mjini Dar

    Thanks for your advice bro, ntamtafta
  18. F

    Natafuta gari aina ya volkswagen beetle mjini Dar

    Vipi washikaji wangu? natafuta gari aina ya Volkwagen Beetle, zile model za 1960s na 1970s!!isizidi milioni mbili na iwe condition nzuri.
  19. F

    Dar es Salaam ndio jiji lenye maajabu zaidi duniani

    Dar Es Salaam ni city ambayo iko na jina kubwa sana Africa, inafahamika sana. Kwa mtu ambaye hajawahi kufika Dar, atafikiri ni city ya starehe tu iliyoko kando ya bahari hindi ambayo imejaa mazuri. Ole wake, Dar is exactly kinyume cha matarajio ya watu wengi. Nimeishi Dar miezi miwili na nusu na...
Back
Top Bottom