Search results

  1. W

    Shampoo bora

    Wanajamvi msaada jinsi ya kutengeneza shampoo
  2. W

    Fursa ya mafunzo ya utengenezaj bidhaa

    jifunze kusuka vikapu,sabuni ya maji na mche kwa vitendo kwa tsh 15000 kwa wakazi wa mbeya. jifunze nasi ujiajiri.
  3. W

    USUS WA VIKAPU

    tunatoa mafunzo ya usus wa vikapu kwa gharama ya sh.15000 tu. Karibu ujifunze nasi popote ulipo mkoa wa mbeya
  4. W

    Mafunzo ya ususi

    Kwa gharama ya 15000 jifunze kushona vikapu uanze biashara yako
  5. W

    Ujasiliamali

    Karibu sana
  6. W

    Njoo utengeneze nasi sabuni ya mche kwa vitendo mwana mbarali

    Hakuna tatizo mkuu, kikubwa usiwe mwoga uwe tayar kujaribu hata kama uko mbali utajua tu.
  7. W

    Njoo utengeneze nasi sabuni ya mche kwa vitendo mwana mbarali

    Kwa gharama ndogo utajifunz hatua kwa hatua mpaka uelewe.
  8. W

    Kwa mabinti tu, ukipewa 500,000/= leo utaifanyia nini?

    Kutengeneza sabuni za mche. mafut(mawewe)62000 magad soda40000 harufu3000 boksi la kugandishia30000 kimashine cha kukatia miche150000 gloves 6000 buti 10000
  9. W

    Ukwaju kwa wahitaji

    Kwa wale wanaohitaji ukwaju Dar ni pm debe 10,000.
  10. W

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Mkuu tafadhali gharama za malighafi ni kias gan? mi nipo mby maana mara zote tunashndw endelea na uzalishaji kutokana na gharama za malighafi kuwa juu.
  11. W

    Ukwaju unapatikana

    Ukwaju unapatikana kwa tsh 7000 kwa debe Mbeya,bei inazungumzika. Kama unahitaj ni pm
  12. W

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    hi wana jf,nimejaribu kutengeneza kashata ya ubuyu ikawa ngumu sana. msaada kwa anaefahamu namna ya kuiandaa iwe lain
  13. W

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    potelea mbali undugu,mwache mkeo na wazaz wake wah kwa dokt mapema,maana mkeo anaonekana kupingana na maandiko,hataki achana na wazaz na anataka aungane na mume?tabu sana.
  14. W

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya. Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.
  15. W

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    Msaada jinsi ya kupika ubuyu huu wa kisasa. ( kashata za ubuyu ).
  16. W

    Msaada: Kila nikipata pesa linafata tatizo

    Nina bahati ya kupata hela,kila nikizipata linafata tatizo sijawahi fanya kitu cha maana. Msaada tafadhali
  17. W

    Natafuta kazi, niko Mbeya

    Natafuta kazi halali, elimu kidato cha sita, makazi Mbeya, nina ujuzi wa Uandishi
  18. W

    Tengeneza kitotolesho cha kuku mwenyewe

    Mahitaji Boksi, bakuli la maji, bulb, holder na themometer. Jinsi ya kutengeneza Toboa boksi mduara wa kutosha kufit bulb, weka mayai, bakuli la maji kwa ajili ya kutengeneza unyevu na mwisho weka thermometa. Unganisha umeme na kaa nusu saa, hakikisha kipimo chako kinasoma 38c geuza mayai kila...
  19. W

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    Hi wana jf,msaada jinsi ya kutengeneza huu ubuyu usio na mapeke(mbegu) ======================== ====================================== Zanzibar Spices said Ni kwamba unachukua Unga wa Ubuyu, unachanganya na Rangi uipendayo,hizi rangi zinauzwa maduka tele hadi mitaani na ni kama rangi zile tu...
Back
Top Bottom