Search results

  1. Blank page

    Chinese Government Scholarships 2024

    Wakuu, Kuna hizi CSC scholarships. Kama kuna mtu ana uzoefu na hizi scholarships embu atoe mwongozo na simple procedures za kukamilisha hii. Tangazo limetolewa pia kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. https://www.moe.go.tz/sites/default/files/TANGAZO%20CHINA.pdf
  2. Blank page

    Tetesi: Kuna unyanyasaji wa wanafunzi Kazima Sekondari - Tabora?

    Habari za muda wakuu? Napata habari mbaya na malalamiko kutoka kwa mwanafunzi ambaye anasoma kidato cha tano shule ya sekondari Kazima mkoani Tabora, kuwa kuna unyanyasaji wa hali ya juu. Moja, ni watoto wa kike kuadhibiwa makalioni. Pili, kugharamia masomo ya jioni kwa baadhi ya topics...
  3. Blank page

    Mimi ni kijana Nipo tayari kujitolea popote pale.

    Habari wanaJF? Mimi ni kijana umri miaka 22 mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine-Morogoro shahada ya kwanza sayansi ya misitu. kwa sasa nipo likizo ya muda kama miezi miwili, hivyo napenda kuomba nafasi yoyote ya kazi ya kujitolea kwa kipindi chote cha mapumziko kwa...
  4. Blank page

    Computer maintanance

    Fast and affordable software solutions centre. Karibu kwa huduma zifuatazo katika computer aina zote. 1. Windows repair (all windows xp, 7, 8.0, 8.1, 10) -kama window yako imegoma kufunguka, au haifanyi kazi inavotakiwa. 2. Ms office installation and activation (2007, 2010, 2013, 2016)...
  5. Blank page

    Karibuni sikukuu wale mpo Moro!

    Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya. Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo Yesu! Aliyekufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.. Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ndugu...
  6. Blank page

    Kupunguza maswali sio suluhu wala kuboresha elimu. Wizara ipitie upya mfumo wa elimu

    Mabadiliko yaliyofanywa na baraza la mitihani yaani necta, hayaendani wala hayajategemewa kama kuwa itakuwa ni suluhu ya uboreshaji wa elimu yetu Nashauri serikali wapitie na waangalie upya aina ya maswali na ufundishwaji ama aina nyingine ya upimaji kwa wanafunzi hasa kwa shule za msingi. Hivi...
  7. Blank page

    Kipi kati ya sikio na pua?

    Hivi ni kipi kati ya sikio na pua, kinachoshikilia miwani pindi unapokuwa umeivaa?
  8. Blank page

    Kwanini viongozi ama watumishi wa serikali walostaafu kupangiwa kazi tena?

    Habari wakuu? Hivi ni kwanini, katika nchi yetu baadhi ya viongozi au wafanyakazi walostaafu kama wanajeshi na watumishi wengine, maaskari na maofisa wengine huteuliwa kushika nafasi zingine za kiuongozi ama kiutawala katika serikali? Na wakati sheria ipo na umri wa kustaafu upo wazi? Vilevile...
  9. Blank page

    Je hakuna upungufu wa nguvu za kike, kwa mwanamke?

    Moja kwa moja kwenye mada ni katika hali ya kutaka kujua baadhi ya mambo wakuu hivi suala la upungufu wa nguvu, lipo kwa mwanaume tuu ama kwa mwanamke pia, na kama ipo je huko hali iko vipi ama husababishwa na nini, na tofauti yake ni ipi ukilinganisha na upungufu wa nguvu za kiume, kwa mwanaume...
  10. Blank page

    Naweza kupima kundi langu la damu hospitali, kwa gharama ya bima ya afya?

    Moja kwa moja kwenye swali. Hivi hospitali, ambazo wanauwezo wa kupima kundi la damu la mtu.. Na bima ya afya ya taifa yani NHIF inakubalika katika hospitali hiyo. vipimo hivyo nitaweza kupatiwa, kwa kutumia hiyo bima ama ni lazima niwe na pesa cash? kingine nataka kufahamu, kama bima hii ya...
  11. Blank page

    Nashauri final examinations level zote ziwe zinarudishwa kwa wanafunzi

    Habari wakuu? Nafikiri lingekuwa jambo jema sana kama, final examinations kuanzia darasa la nne, saba na kidato cha pili, nne, sita hadi university examinations wawe wanarudisha kama feedback kwa wanafunzi waliofanya. Ili tuweze kufanya tathmini kwa kile tulichokisoma miaka yote, na competence...
  12. Blank page

    Special; Maswali na majibu kuhusu miti. (Elimu ya miti)

    Habari gani wakuu? Kwa mtu yeyote ambaye, ni mtaalamu wa mambo ya miti ama mtu yeyote anayetaka kujuzwa chochote, juu ya miti kuanzia muonekano wake, aina za miti, sifa zake, ubora pamoja na ukuaji wake. Anakaribishwa kuuliza swali lolote, kwa lugha yoyote na atajibiwa na mtaalamu, ama...
  13. Blank page

    Special thread; Kilimo cha miti na mazao yake (asali, mbao n.k)

    Muhimu sana wakuu. Tanzania yetu, ya viwanda inahitaji maendeleo na uwekezaji wa kudumu katika kilimo na biashara. Kilimo cha miti, ni kilimo kikubwa na kina faida sana kwa nchi yetu, kutokana na maelezo ya wakala wa serikali wa huduma za misitu pia asali ni mojawapo ya zao linalotegemea misitu...
  14. Blank page

    Mitandao ya simu (vodacom) hii sasa ni kero! kila ukipiga simu unaambiwa laini yako itafungiwa eti una usajili wa awali

    Habari wakuu? Hivi inakuwaje, hii mitandao ya simu wateja tuliponunua simcards zetu, walitufanyia usajili wa awali wakati tumetumia vitambulisho halali kusajili? Leo hii wanakuwa kero kila unapopiga simu unaambiwa kuwa laini yako itafungiwa kwa kuwa una usajili wa awali, hivi mnafikiri tuna...
  15. Blank page

    Umuhimu wa kukumbuka siku ya kuzaliwa (birthday)

    Happy born day to myself (kijana). Nafurahi kwamba leo, toka kuwamo duniani ni miaka 22 sasa, namshukuru M/Mungu kunijalia uhai na furaha. Wakuu napenda tuweze kubadilishana mawazo, juu ya umuhimu wa siku ya kuzaliwa, simaanishi kuiwekea pati ama kuisherekea kwa kula keki. No, nataka kufahamu ni...
  16. Blank page

    Jeshi la polisi libadilike Badala ya kutawanya waandamanaji kwa nguvu wafanye kusindikiza maandamano!

    Ingekuwa vizuri kama vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikiacha kutumia, nguvu kutawanya maandamano kama wanavyofanya siku zote. Badala yake wajikite kusindikiza maandamano hadi sehemu husika huku wao wakiwa pembeni, kuhakikisha usalama wa mali na raia wengine. Ili wananchi ama waandamanaji...
  17. Blank page

    Leo Feb 2018 nimeamua kubadilika na kuanza maisha mapya

    Habari wakuu? Wanasema if you don't change you won't grow.. Pia wanasema it takes courage grow up and become who really you are' baada ya kusoma inspirations kadhaa pamoja na quotes za wanajf na watu mbalimbali. Leo nimefanya maamuzi kubwa ni kuwa nimekubali kubadilika ili niwe mtu, ninayetakiwa...
  18. Blank page

    Naweza kubadilika na kuwa ninavyotaka?

    Habari wakuu? Hivi kweli mtu unaweza kubadilika, ama kujifunza kuwa na courage and confident? Nimejaribu, kusoma vitabu vingi vya inspiration pamoja na motivations kibao na kuzielewa. Lakini linapokuja suala ya kutake risk ama kuwa vile, natamani kuwa yani kuact confidently na kutokuwa shyness...
  19. Blank page

    Hivi vyoo vya kukaa maeneo ya umma na mikusanyiko ya watu kwa ajili ya nini?

    Wakuu huu utaratibu naona hautufai kabisa, kutumia vyoo vya kukaa sehemu za public kama mashuleni na mavyuoni. Haya mambo ya wazungu na yana utaratibu wake, kwanini viwekwe kila sehemu bila kujali aina na wingi wa watu? Hivi vyoo ni uchafu kila mtu, anatumia atakavyo na kunakuwa na uchafu wa...
  20. Blank page

    Ninawatafuta, wahitimu wa BSc. Forestry SUA kwa mwaka 2016/17

    Habari wakuu? Ninawatafuta, wahitimu wa BSc.Forestry sana wa mwaka 2016/17 kutoka chuo, kikuu cha Sokoine, naomba sana wale mpo humu jukwaani niwapate wakuu Nina shida kubwa sana na nyie Foresters.
Back
Top Bottom