Search results

  1. Blank page

    Usiku huu umekuwa mgumu sana

    Scholarships zipo nyingi sana Mkuu, utachagua unahitaji kusoma nchi gani na kozi gani, we komaa semester hii uue vizuri pia. Wengine tulishindwa kupata hata Gentlemen GPA.
  2. Blank page

    Zipo scholarship hadi wenye miaka 30-33

    Zipo nyingi sana hadi wenye age 35 kwa wanume, na pia zaidi ya hapo. Ila hizo ndozo common kwa level ya masters.
  3. Blank page

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Safi sana. Nimeagiza projector kupitia Alibaba kwa mara ya kwanza, na nimeshailipia lakini status bado haijafanyiwa shipping, nina wenge kimtindo kutokana na ugeni wa hii online business.
  4. Blank page

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Dah nilitaka nilale muda huu, ila kwa hii comment imenipa challenge.. ngoja niendelee kukomaa ase.
  5. Blank page

    Uongozi ni utayari na wito

    Shusha nondo, mbona mada haijashiba?
  6. Blank page

    Msaada HESLB

    Hilo deni limekuja vp na bado unasoma?
  7. Blank page

    Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

    We umejuaje kuwa mimi ni black kutoka Afrika? Mimi ni American.
  8. Blank page

    Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

    Mkuu, naomba huyo mdogo wako wa miaka 25 nifanye nae maisha. Serious note.
  9. Blank page

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Kama umeamua kupambana kwa njia hiyo, upambane kweli. Ila unaonekana bado hujakaza zaidi na ishu ya kusoma. Sio kweli kwamba kazini ni mpaka ufikishe miaka 3 ndio ukasome. Ukishathibitishwa au hata kabla wewe ukipata gap la kusoma kwa funds nje na Taasisi yako unakwenda.
  10. Blank page

    Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Ni kichekesho hiki Mkuu?
  11. Blank page

    Mwanariadha Alphonce Simbu awasili nchini na Medali ya Shaba kutoka Korea Kusini

    Hongera sana. Naamini hayo mashindano ya Ufaransa atafanya vema zaidi na kushinda hicho kitita.
  12. Blank page

    Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Hiyo usisubiri taarifa, leo ni siku ya 30 hivyo iwe jua au mvua kesho ni Eid.
  13. Blank page

    Wanaume mpewe nini mtulie?

    Kubali kwanza mimi na wewe tuzame kwenye dimbwi la mapenzi.
Back
Top Bottom