Search results

  1. fareed uziel

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    Unamzungumzia Haji manara au?
  2. fareed uziel

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Ila brainwashing aliyoifanya Nyerere hapa Tz inafanya kazi mpaka Leo hii.
  3. fareed uziel

    Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    Tatizo sio serikali,tatizo ni wabongo washazoea shida na kakubali kila kitu. Tunaona shida ni muhimu hivo hata serikali inaenda hivo hivo wabongo wanavopenda. Toka niwe na pikipiki yangu nimesahau kabisa kupanda mwendokasi Wala kuwaza mateso yake na Mimi ni maskini tu sasa imagine kiongozi au...
  4. fareed uziel

    Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    Mpaka sasa hakuna mbadala wa kupambana na trump zaidi ya Biden. Democrats hawana candidate mzuri wa kuruka na trump ndio maana Biden ataendelea kugombea tena. Mi nataka Biden ashinde trump miyeyusho.
  5. fareed uziel

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    https://www.instagram.com/reel/C3vutT8rSVs/?utm_source=ig_web_copy_link Juzi huyu jamaa alipost kua walisimamishwa kula bata coz watu walikua anatafuta mwili,turns out kumbe ndio huyu mbongo alieanguka.
  6. fareed uziel

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Bro wtf? Una akili kweli wewe? Tanzania ndio kwanza developing country unataka turuke steji tuwe na bullet train wakati kua na treninya uhakika tu kwenda morogoro ni dalili nzuri ya progress. Hivi Kuna treni Gani ya kila siku kwenda morogoro? Usikute hata nje hujafika ila umeona bullet train...
  7. fareed uziel

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Mi nimefurahi sana kutumia masaa mawili kwenda moro maana Kwa basi ni zaidi ya masaa 3 mpaka manne. Pia Ile Raha ya treni kuzunguka kwenda kwenye mgahawaha na nafasi kubwa ni bonge la advantage
  8. fareed uziel

    Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Teah sababu option nyengine zipo,huwezi lalamika service mpya na ya uhakika kua na bei juu. Imagine kama treni inatumia masaa 3 kamili kufika moro,pia nafasi kubwa,pia kuna vyoo na mgahawa kwanini usilipie zaidi.
  9. fareed uziel

    Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Wabongo mnapenda vitu vizuri Kwa bei rahisi ndio maana mwendokasi unapata hasara. Hiyo 23000 walioiweka sio bei ya wao kupata faida Mzee.
  10. fareed uziel

    Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  11. fareed uziel

    Kama haumiliki gari mjini wanawake watakuona jau, labda uwe na pesa za mupemupe baongezee, botebote

    Kumiliki gari ili upate papuchi ni kua insecure. Insecurity haujitibu kwa kupata vitu sababu utapata IST then utajiona boya na kuanza kuona papuchi ulizozikosa umewakosa sababu una IST then utaanza kuwaza nikiwa na subaru ntawapata zaidi hahaha inakua endless circle of insecurity manifesting in...
  12. fareed uziel

    Japo uchumi unakua, sekta ya huduma haina ubunifu

    Wazee wezangu kuna changamoto kubwa katika sekta ya huduma, haswa kwenye ubunifu. Ingawa uchumi unaendelea kukua kwa kasi, sekta ya huduma haijafikia kiwango cha ubunifu kinachohitajika. Kuchukua mfano wa hali ya hewa ya sasa hivi Dar es Salaam ambayo inakuwa joto sana, ni dhahiri kuwa kuongeza...
Back
Top Bottom