Search results

  1. kokudo

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Je kwa yule anaeku hold bila taarifa nayo ipo kwenye kundi lipi?
  2. kokudo

    Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Ngoja na Mimi nijaribu
  3. kokudo

    Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Hili bandiko nililiona muda mrefu na leo nimekutana na notification ikabidi nirudi kulisoma tena Kuna moja ya biashara nipo naifanyia research japo natumia njia ya maji ila ni biashara moja tamu kama itakuwa na muendelezo Bahati mbaya sijapata wateja wa moja kwa moja ni mpaka nipitie kwa...
  4. kokudo

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Akili za kuambiwa
  5. kokudo

    Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

    Anzisha uzi spesheli 😂
  6. kokudo

    Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

    Yaani kwenye kila post hua HAKOSEKANI mtu mmoja ambaye ataleta madini ya maana bila wivu Kongole kwako mkuu
  7. kokudo

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Dubai Belo wanauza bei kubwa sijui upande wa quality wajuzi mje
  8. kokudo

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Na ikawe hivyo
  9. kokudo

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Kadri navyozidi kufukunyua habari za UTT ndio nazidi kuchanganyikiwa zaidi
  10. kokudo

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Sijawahi kushika milioni 10 ila kwa hii biashara niliyoianza nauona mwanga mbele yangu
  11. kokudo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hello Ynwa
  12. kokudo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mi sonona inanitafuna acha nikae hapa kuupunga usiku
  13. kokudo

    Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

    Farida na wimbo wake wa PESA
  14. kokudo

    Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

    Umesoma mpaka la ngapi mkuu bado unasumbuliwa na hizo mambo?
Back
Top Bottom