Search results

  1. K

    Mkimbizi wa Iraqi asifiwa kwa kurejesha pesa alizookota

    Polisi mjini Berlin wamemsifu mkimbizi wa Iraqi aliyekabidhi pochi aliyoipata ikiwa na kitita cha dola $16,800. Pochi hiyo iliachwa ndani ya treni Ijumaa iliyopita usiku na mwanamke kikongwe mmoja mwenye umri wa miaka 79. Muda mfupi baada ya kuiacha pochi yake , aligundua kosa lake na...
  2. K

    MSAADA

    wakuu hivi tigo customer care wanaajiriwa na recruitment argent nani....na ofice zao ziko wapi.....
  3. K

    Majasusi wa Marekani wauwawa na China

    Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kulemaza kabisa shughuli za Marekani za kuichunguza China. Afisa mmoja mkuu wa Marekani ameliambia gazeti hilo kuwa, hiyo ni mojawepo ya...
  4. K

    Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Hamis Kigwangalla amewakatisha tamaa watu waliokaa na kusubiri ajira za serikali hususani wale wa sekta ya afya kwa kuwaambia watafute kazi za kufanya badala ya kusubiri ajira. Kigwangalla ametoa neno hilo kupitia ukurasa...
Back
Top Bottom