Search results

  1. popiexo

    Msaada: Soko la kanga (guinea fowl)

    Vipi bei yao kwa Kanga wakubwa.
  2. popiexo

    Msaada: Soko la kanga (guinea fowl)

    Nimefuga kanga lakini sijapata soko zuri na la uhakika kiasi mpaka imebidi nipunguze uzalishaji wake. Mwenye kufaha soko naomba anijuze.
  3. popiexo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Usajili wa namna hii ndio utafanya hata Suarez afikirie kutimka
  4. popiexo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnaishia kusema huyu tulikuwa tumsajili mwaka juzi
  5. popiexo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mentor usisikitike sana tumwamini JM
  6. popiexo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Anakuja beki wa ukweli Eliaquim Mangala kuziba pengo
  7. popiexo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii ilikuwa mechi ya kujiandaa na ile ya jumatano, hiki ndio kitakacho wapata Atletico
  8. popiexo

    Tanzania yaanza kutafuta Ndege iliyo potea

    Teh teh teh teheeeeee!
  9. popiexo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mechi ya 1500 itakuw2a 9-0
  10. popiexo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tanga halianukiki, misiba mfululizo. Aliyesema hkuna mwaka wa shetani nani?
  11. popiexo

    Al Ahly wametuzidi kila kitu, na wamekuja

    Hujui lolote we kiazi, ina maana hujui kama kocha msaidizi wa Yanga alikuwa Cairo siku chache zilizo pita?
  12. popiexo

    Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

    Haa haa hahaaa, 1 jumlisha 1 ni ngapi? Huyu mzee alikuwa anajua.
  13. popiexo

    Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

    Poor Marin, ni mtu mwenye general knowledge hivyo hawezi kuwa na uwezo wa kuwa na maswali ya kina kwa kila sector, ni vizuri ajifunze kuwaachia wengine wenye uelewa mzuri kuhusu kitu fulani ndio wakafanya mahojiano. Siasa yeye, uchumi yeye, ukemia yeye, maendeleo ya jamii yeye, elimu yeye...
  14. popiexo

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Hii ni kitu safi sana
  15. popiexo

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Tunatabika tunasulubika Mabaga fresh tumepigikaaaah ,....
  16. popiexo

    Tanzania Yawapagaisha Wamarekani Seattle

    Acha porojo, kipindi hiki hata tuliowapa dhamana ya kulinda mali zetu ndio wanaongoza kuzihujumu. Aibu kubwa.
  17. popiexo

    ‘Specialist in failure?’ Why Jose Mourinho isn’t even fit to zip up Arsene Wenger’s coat

    Wenger on Mourinho Nov 2005: "He's out of order, disconnected with reality and disrespectful. When you give success to stupid people, it makes them more stupid sometimes." Mourinho on Wenger Oct 2005: "I think he is one of these people who is a voyeur. He likes to watch other people. There are...
Back
Top Bottom