Search results

  1. HISIA KALI

    Dr Magufuli Rais wa Tanganyika

    Hii hoja yako ni ya msingi kabisa. Iweke kwenye thread inayojitegemea ili michango ililete tija zaidi. Kuiweka hapa inapotea tu kichakani
  2. HISIA KALI

    CCM vs CHADEMA: Ali Mufuruki amaliza kabisa

    Ali Mufuriki ni kati ya wafanyabiashara ambao hawalipi kodi inavyotakiwa hapa Tanzania. Lazima ajipendekeze kwa CCM kulinda interest zake.
  3. HISIA KALI

    ITV wamekuwa hawaoneshi Mikutano ya CCM ya Kampeni

    Nyumba za serikali aligawa Mengi? Barabara mbovu anasimamia Mengi? Malipo machafu ya fedha ya wizara ya Ujenzi anasimamia Mengi?
  4. HISIA KALI

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Wakiristo wakienda kusali mchungaji huwa anasema kwa unyenyekefu naomba tuinamishe vichwa vyetu na kufunga macho yetu. Lowasa ni mkristo hivyo anasali kwa kufuata taratibu za imani yake ya dini. HAJAJA HAJAJA. Na hata kama hamelala sioni shida kwani yeye ni binadamu wa kawaida.
  5. HISIA KALI

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Tangu kampeni za uchaguzi zimeanza taasisi zote hizi zimetuhumiwa kuelemea upande wa CCM. Sasa leo wanataka mdahalo wa vyama vyote. Viongozi wa vyama wenye akili sawa sawa hawawezi kukubali kushiriki. Kwa mfano wiki hii Lowasa amefanya kampeni za kanda ya ziwa Victoria na mikutano yake...
  6. HISIA KALI

    Hii ndiyo Tanzania aliyotuachia Mwalimu?

    Sasa tumpe vipi kura Magufuli wakati naye ametuibia na kutuingizia hasara. Nyumba za serikali aligawa kwa ndugu na mahawara zake. Samaki wa Magufuli alifanya uamuzi wa papara. Wizara yake imejenga barabara za kiwango cha chini. Report ya CAG ilieleza matumizi mabaya ya TSHS 200 billion kwenye...
  7. HISIA KALI

    Mawaziri wa serikali ya Magufuli kuchunguzwa

    Hii ni shidaaa. Kwa hiyo anagombea urais wakati hajui ni nini cha kufanya? Halafu hao mawaziri si watatokana na wabunge wa CCM? Kama ni hivyo wakati wa kura za maoni wagombea wote wa CCM walitoa rushwa kwa njia moja au nyingine. Wengine kwanza ni wapiga debe wakubwa walihojiwa na TAKUKURU...
  8. HISIA KALI

    Lowassa kama Mwai Kibaki

    Mzee Mwai Kibaki ni Rais mstaafu wa Kenya ambaye alitoka KANU na kujiunga na upinzani na kufanikiwa kushinda kuwa Rais wa tatu wa nchi ya Kenya. Huyu alikuwa na umri wa miaka 70 na kitu alipochaguliwa kuwa Rais. Ni mtu ambaye hakuwa na maneno mengi kwenye hotuba zake lakini ndiye Rais...
  9. HISIA KALI

    Roho yangu Imetulia, Ni John Pombe Magufuli kwa awamu ya tano

    Akili ni nywele na kila mtu ana zake. Kama unatumia akili sawa sawa ulitakiwa ujue kuwa kila mtu ana uhuru wa kuchagua mgombea anayemtaka. Pia ujue kuwa wagombea wote wana sifa za kuwa rais na ndio maana walipitishwa na tume ya uchaguzi. Kama wewe akili yako inakutuma Magufuli anafaa ni haki...
  10. HISIA KALI

    Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

    Lowasa ndiye mwenyewe maono na mkakati bora wa kuleta maendeleo kuliko Magufuli. 1. Ataleta katiba ya wananchi. 2. Elimu bora na bure mpaka chuo kikuu. Vitu hivi viwili ndio nchi hii inataka kwa sasa.
  11. HISIA KALI

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Mahakama ya wananchi imedai ushahidi wa ufisadi lakini hakuna mtu ameleta ushahidi wowote. Hivyo mahakama ya wananchi imeamua kufuta kesi kumuachia huru. Rukusa kuwa rais wa Tanzania.
  12. HISIA KALI

    UKAWA hamna haja na Mainstream Media?

    Wachukuwe hatua na kulifanyia kazi ndani wiki hizi mbili zilizobaki.
  13. HISIA KALI

    UKAWA hamna haja na Mainstream Media?

    Hata mimi hiki kitu kinanishangaza sana. Mpaka sasa UKAWA/CHADEMA haijatumia vizuri media kufanya kampeni. Redio na TV ni vyombo vinavyowafikia watu wengi sana kwa wakati mmoja. Sasa kwa nini wahaweki hata clip ya dakika moja au mbili kwenye redio na TV? Wapiga kura wengi hawaendi kwenye...
  14. HISIA KALI

    Kusamehe deni la HESLB ni sawa?

    Hii ahadi ya kufuta madeni ya wahitimu ni nzuri sana. Lowasa anatakiwa kuisemia hii kwa nguvu kubwa sana. Vijana wengi wasomi watamuunga mkono.
  15. HISIA KALI

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    CCM ishinde Arusha? Hiyo sahau kabisa. Machali walikuja tu kuangalia wasanii wa dezo. Na kama ni wingi wa watu subiri siku Lowasa atakapoingia mjini Arusha.
  16. HISIA KALI

    Tanzania ya Magufuli

    Magufuli atajenga nyumba za serikali wakati zilizokuwepo aliuza?
  17. HISIA KALI

    Tanzania ya Magufuli

    Ndio tuanze na RICHMOND. Atuambie RICHMOND ni ya nani? Maana JK kashindwa / kagoma kutuambia. Baadaye EPA , Escrow, Twiga na pembe za Ndovu, MV Bagamoyo na fedha za samaki wa Magufuli nani atalipa?
  18. HISIA KALI

    Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    Utafiti wako uko bias kwa CCM. Hizo hesabu zako hazifanyi kazi.Subiri 25th October sio mbali.
  19. HISIA KALI

    Je kutumia lugha za kikabila kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi sahihi?

    Kuna wagombea wamekuwa wakitumia lugha za kikabila kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi. Je ni sahihi? Sheria za nchi zinasemaje kuhusu ili jambo?
  20. HISIA KALI

    Magufuli: Nakerwa na vigezo vya uzoefu kuomba ajira

    Aache kuwatapeli wapiga kura. Kwenye ajira lazima kuwe na nafasi za watu wenye uzoefu na za wasio na uzoefu. Hawezi kuondoa hilo. Na hukuna sheria inapinga hilo kwani hiyo ndio hali halisi ya ajira popote duniani. Cha kufanya ni kutengeneza ajira mpya tu.Hizo nyingine ni blabla tu za kuomba...
Back
Top Bottom