Search results

  1. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Kupata relief ni Jambo jema kuliko kufata watu wanavyoishi na kuishia kuumia moyoni na kukosa sehem pa kusemea
  2. King snr

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Tuwekee kiswahili ili tusisaini mikataba feki
  3. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Sijakataa mtoto boss na siwezi enda kichwa kichwa na hajasema Kama mm ndo baba nikifanya vibaya anaweza kunikataa na nikawa Sina Cha kufanya
  4. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Hakuna aliyekua tayari na ndoa ya bomani ishu ilikua Ni lazima mmoja kati yetu abadili dini kumfuata mwenzake Wakati mapenzi yanakolea mtu unasahau kuhusu vipingamizi Hadi pale unapofika wakati wa kufanya maamuzi so ๐Ÿ™๐Ÿผ
  5. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Pole sana kaka
  6. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nione vyeti vyako kwanza kujiridhisha
  7. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hawa washauri ndo wanaofanya watu wajirushe kwa maghorofa maji yakishafika kooni
  8. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Kafanya Nini Atuganile Shem wetu
  9. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Ugomvi wa watani ngoja nikae pembeni By the way Yanga kushinda ugenini sio story, anaweza kufanya hivyo
  10. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Kaka unataka tupoteze nguvu ya taifa? Sema hapa wengine wajifunze pia usije kufa nayo moyoni
  11. King snr

    Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

    Ndio kabisa Ila saiz yeye ndo ana mwanangu
  12. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Wazazi wake ni wafia dini sana wasingemruhusu
  13. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
  14. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    We imekugharimu kiasi gani Hadi kuisha
  15. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Aisee vitu vitam hivi, Unataka kunambia Ni lazima viwepo tangu wakati wa kuchora ramani au unaweza fanya muda wa finishing tu?
  16. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Hii ndo guest unayosema? Naona hizo tiles ukutani zimependeza sana
  17. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Aisee, Lakini mwenye nyumba amesema hujaiona ndani ilivyo pengine kwa ndani Ina hiyo thamani
  18. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Boss kwahiyo 19M inatosha kukamilisha kabisa Hadi finishing?
  19. King snr

    Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Back
Top Bottom