Search results

  1. MSAGA SUMU

    Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  2. MSAGA SUMU

    Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

    Usiseme huu ni utoto. Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000. Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa. Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea...
  3. MSAGA SUMU

    Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Hata ukiwa msukuma lazima usali kiarabu shida ndio inaanzia hapa
  4. MSAGA SUMU

    Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

    Twende CCM Lumumba kupiga wezi,wapo wa kutosha
  5. MSAGA SUMU

    Eid Mubarak to all Muslims

    Mchana nzi usiku mbu yaani balaa tupu
  6. MSAGA SUMU

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Ni kweli Armstrong hakuwahi kutua mwezini
  7. MSAGA SUMU

    Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Mtaani mambo magumu bila connection hamna kazi
  8. MSAGA SUMU

    Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Anachofanya huyu jamaa ni utoto wa hali ya juu, leo asubuhi nilikuwa nina kikao na Lema,kufika kwake naambiwa na yeye kaenda kumpokea Makonda.
  9. MSAGA SUMU

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Wazenji bhana, yaani afande kuliwa kiboga kwao haina shida lkn bhangi ni haram
  10. MSAGA SUMU

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kuna siku huu muungano utavunjika tu na sababu kubwa ni utofauti wa uelewa na akili kati ya wananchi wa pande hizi mbili. Hiyo siku ikifika nini itakuwa hatima ya Wazanzibar walioko bara na mali zao zisizohamishika kama nyumba, je atapewa nani wakati wa kufungasha vilago? Watu wa bara watakuwa...
  11. MSAGA SUMU

    Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

    Wake vizuri mwaka jana nilipita kwenye kiwanda Chao, kipo Ngozi Burundi
  12. MSAGA SUMU

    Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

    Wake vizuri mwaka jana nilipita kwenye kiwanda Chao, kipo Ngozi Burundi
  13. MSAGA SUMU

    Naomba utaratibu wa kuhudhuria arobaini ya mzee wangu Mwinyi

    Tukiwa tunaelekea arobaini ya mzee wetu Mwinyi nilikuwa nataka kupata utaratibu wa kushiriki. Sikupata nafasi ya kukutana na rais Mwinyi kumpa pole kama walivyofanya watu wengine sababu ya ubize lakini nataka kujitahidi kushiriki 40. Ningependa kufika ikulu ya Zanzibqr siku moja kabla ya 40...
  14. MSAGA SUMU

    Kama utani vile, gari la mikate na juice yamegongana

    Hii huwa haitokei kila siku gari la kinywaji na kitafunwa kugongana.
  15. MSAGA SUMU

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    Lkn kwenye gacaca court nchini Rwanda anaweza kusimama bila shida
Back
Top Bottom