Mabula wa ccm kura 81770 na wenje chadema kura 79810 ccm imechukua majimbo yote ilemela na nyamagana. Hayo ndio matokeo rasmi yakiyotangazwa.... Saa7 usiku huu
mkuu mzizimkavu. mrema amepima upepo akaona ubunge hapati vunjo. kwahiyo ameona ili asife na njaa ajipendekeze kwa magufuli ili magufuli kama atakuwa rais amchague ubunge wa kuteuliwa zile nafac kumi za rais. ameona mbali lakini. na mrema si mpinzan kwa sasa. anatafuta ubnge apate mlo wa siku.
mwanza tokea jana saa 1 usiku mpk mda huu saa 4 usiku hamna umemezaidi ya masaa 27 hamna umeme. na haijulikani utarudi lini. hii ni balaa. hii itawakost sana ccm wanazidi kupoteza kura kwa wingi sana
mkuu sumsung mm siijui. ila kama unakusudia samsung basi ni bora kuliko lg. ila isinunue samsung za maduka ya mitaani nyingi ni fake. nenda kwenye maduka ya samsung yenyewe utapata kitu original na waranty ya mwaka mmoja. japo kuwa bei ipo juu kidogo ila ni original mtaani nyingi sana kama si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.