Search results

  1. Chizi Fureshi

    Miraji Mtaturu ateuliwa ateuliwa kuwa mgombea wa jimbo la Singida Mashariki kupitia CCM

    16.07.2019! Mbona kama Mwenyekiti alikuwa Mwanza? au ni ile C&P?
  2. Chizi Fureshi

    Musiba gusa sehemu zote ila ukijaribu kwa JK utajua CCM ina wenyewe

    Hivi level ya musiba ni ipi? Mnajua ifikie mahali tuekezane ukweli jamani!
  3. Chizi Fureshi

    Madaraka Nyerere: Serikali iondoe picha ya Mwl. Nyerere kwenye noti ya sh. 1,000

    Kusema kweli wajihi wa Mwalimu umekosewa muda mrefu. Tumechelewa kupaza sauti na kuweka utaratibu madhubuti. Juzi juzi tumeharibu kabisa.
  4. Chizi Fureshi

    Naomba nielimishwe tofauti ya Ziara Binafsi, ya Kitaifa / Kiserikali na ya ile ya Kikazi ya Marais duniani

    kwenye post #4 bana state agent amesema kulikuwa na mvua za rasharasha
  5. Chizi Fureshi

    Naomba nielimishwe tofauti ya Ziara Binafsi, ya Kitaifa / Kiserikali na ya ile ya Kikazi ya Marais duniani

    Hivi ile miamvuli ni ya nini wakati jua sio kali wala mvua hainyeshi?
  6. Chizi Fureshi

    Rais Magufuli: Natamani kuwa Waziri wa Michezo

    Harrison, ngapi huko. Soma ramani!
  7. Chizi Fureshi

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Unajua TAMISEMI imejaa hizi siasa za hapa na pale. Kwa hiyo ni vema uwe mzalishaji-kwenye WATU, ARDHI, SIASA SAFI na kwa hakika UONGOZI BORA. Huyu Ndugu ni fundi kwa namna ninavyomtafsiri mimi.
  8. Chizi Fureshi

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Watasema tunafahamiana na unampigia debe. Sijui tatizo letu ni lipi aisee
  9. Chizi Fureshi

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Roho za upambe zinatesa sana. Ukiona tu inalipuka puuuuuu!
  10. Chizi Fureshi

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Hapana, na hatufahamiani nae kama ambavyo hatufahamiani mimi na wewe
  11. Chizi Fureshi

    Kangi Lugola kuvua nguo kunaweza kumaliza kashfa hii ya jeshi la polisi?

    Hilo la kuvua nguo limeingizwa kwenye hansard? Aliyekuwa amekalia kiti cha Spika nae alimtazama tu? Hizi akili ni za wapi?
  12. Chizi Fureshi

    Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

    Yupo kocha kachukua sana makombe ya klabu bingwa Ulaya na Dunia, halafu akaja kujitwisha kombe la Dunia lenyewe. Ni nadra sana kwa makocha wengi duniani. Bahati mbaya mpaka post hii hajatajwa. Nadhani wengi tumefuatilia mechi hizi hivi karibuni. Asanteni.
  13. Chizi Fureshi

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Ni swali wakuu. Ndugu yetu huyu ni mwanadiplomasia sana. Mshiriki mzuri wa siasa za nchi kwa kuwa ametumia muda wake mwingi kulijenga Taifa akiwa hewani+hewani tena na barabarani. Ni mstaarabu mno kiasi kwamba anaeleweka mpaka kwa watu wenye uhitaji na maono "mafupi' tu. Nchi yetu ni maskini...
  14. Chizi Fureshi

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Ripoti ya CAG ni ya 2017/2018 na kimsingi akisha weka hizo audit query basi ni jukumu lenu kujibu. Kama sare zimenunuliwa hiyo hoja imefutika kwa kuwa jukumu hilo limetekelezwa kwa 100%. Sasa uongo wa CAG unatoka wapi hapo?
  15. Chizi Fureshi

    Hotuba za Magufuli Mbeya ziko fair kwa Sugu na Tulia

    "mpaka sasa". Kwa hiyo unaendelea kusikiliza hapo baadae au hadi mwisho wa ziara yake?
  16. Chizi Fureshi

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Hasahasa Ipole hadi Inyonga
Back
Top Bottom