Naandika uzi huu kwa niaba ya Watanzania, kumhusu Madam Wema Sepetu, mlimbwende wa zamani wa Tanzania, akishinda Taji hilo mwaka 2006 mbele ya Jokate Mwegelo, mjasiriamali, msanii wa filamu, muziki na mwanaharakati na Lisa Jensen, aliyekuja kuwa Redds Miss World Tanzania mwaka 2012.
Wema...
Mshikemshike wa ligi kuu Tanzania bara utaendelea tena wikiendi hii ambapo jumamosi kutapigwa jumla ya michezo mitano.
Stand United watakua wenyeji wa Wekundu wa msimbazi Simba Sport klabu, huku Mgambo Jkt wakipimana ubavu na African Sport.
Mbeya City wao watakua katika dimba lao la sokoine...
KAULI iliyotolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, kwamba wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wanatumia mchakato wa Katiba kama mradi binafsi wa kujinufaisha, ni wazi imeonekana kumkera Jaji Joseph Warioba, ambaye sasa ametamka bayana...
Jana nilimsikia mbunge wa Simanjiro, Kristofa ole-Sendeka akihutubia Mkutano wa CCM wa kampeni Arusha Mjini, akasema kama kawaida yao, "Mwambie jirani yako anyooshe mkono, asiyenyooha atakuwa mchawi..."
Kauli hii si njema hata kidogo, kwani sio kila anayekuja kwenye mkutano wa CCM ni...
Siasa ni watu, na watu ni mtaji a.k.a asset chambilecho Dr. Mihogo. NLD, NCCR na CUF wamewakopesha Chadema​ mtaji wa watu wao kwenye mbio za Urais wa Jamhuri na tunategemea wavune pamoja faida za biashara hiyo ya URAIS.
Faida inaweza kuwa USHINDI, hivyo wakapewa fungu lao kwenye...
Klabu ya daraja la kwanza, Geita Sport Club imepata udhamini wa milioni 300 kutoka kwa Kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Mine. Klabu hiyo imepanda daraja la kwanza msimu huu imepania kucheza ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/17.
Klabu hiyo ya Mkoa Mpya wa Geita ipo kambini kwa miezi...
Timu ya taifa ya Tanzania ilipoteza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Libya kwa magoli 2-1, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Kartepe1 nchini Uturuki.
Goli pekee la Tanzania lilifungwa na John Bocco.
Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi habari ya Wizara ya Kazi kuyafungia makampuni 75 yanayosafirisha wafanyakazi nje ya nchi kwa tuhuma kuwa wanawapeleka kwenye biashara ya ngono badala ya kazi za ndani kama wanavyoahidi na vibali vyao vinavyoonyesha.
Figisu kwenya habari hii ni kuwa hayo...
Mfanyabiashara Bruno Colman Kimaryo amefikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu kwa kosa la kuwasifia na kuwapongeza majambazi wa Sitakishari kwenye mtandao wa Facebook.
Mshitakiwa alikana mashtaka hayo.
Bruno Coleman Kimaryo, alikuwa akijiita majina mengi ya bandia na kutukana sanakwenye...
​
Rapper Afande Sele amesema wasanii hawajanufaika na ubunge wa Joseph Mbilinyi aka Sugu licha ya kumsaidia kumpigia kampeni katika uchaguzi uliopita.
Akizungumza na Planet Bongo ya East Afrika Radio, Afande alisema Sugu ameshindwa kuwatumikia wasanii na kujinufaisha yeye mwenyewe...
Dar es Salaam.
Motorists arrested for traffic offences will no longer have to pay the fines on the spot. The Traffic Police Division yesterday signalled that it would be launching a new ticketing system that will allow offenders to pay up at their convenience.
This means there will be no more...
Mbeya City Council F.C inakaribisha kampuni zenye uwezo wa kufanya kazi na club yetu.
Kazi zinazotangazwa ni kama ifutavyo:
I.Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II.Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili iweze kujijenga...
Jumamosi, Julai 4, 2015, tulikuwa katika mabishano makali kwa njia ya barua-pepe. Wanafunzi wenzangu wa shahada ya uzamivu walikuwa wakitaka walipwe fedha ya kujikimu inayoendana na viwango vya nchi tajiri. Iwapo viwango hivyo vitakubalika, basi mwanafunzi mwenye familia atakuwa akilipwa...
​
South African music icon, Yvonne Chaka-Chaka, has urged the leaders in the continent to emulate Father of the Nation Mwalimu Julius Nyerere by fighting for the interests of their people.
The African celebrity said Mwalimu Nyerere didnt fight only for Tanzanias liberation, he fought...
Taarifa kutoka TFF zinasema kuwa Charles Boniface Mkwassa, ambae kwa sasa ni kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga Afrika ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars na atakuwa akisaidiwa na kocha wa sasa wa Zanzibar Heroes, Hemed Moroco.
Chanzo: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Sarakasi za Urais zinaendelea ndani ya Chama Tawala, chama ambacho kimekuwa kwenye madaraka ya juu ya taifa hili tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977.
Sarakasi za kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu zimekuwa kubwa na zisizotabirika, pengine kuliko kipindi chochote katika historia...
Mpigania Uhuru wa Ginee ya Bissau, Amilcar Cabral (kushoto) akiwa na kinara wa Mapinduzi ya Kuba, Fidel Castro
Nukuu hizi mbili, moja ya Mwalimu Nyerere na nyingine ya Amilcar Cabral kiongozi wa Guinea, zinajenga hoja kuhusu uhalali wa matumizi ya mapambano ya kimabavu pale utawala wa...
Taarifa hii imetolewa na mwanahabari Omari Katanga kupitia ukurasa wake wa Facebook, pengine kwenye kipindi cha michezo cha EFM tutapata taarifa kwa kina.
Kwa sasa habari iliyopo ndio hiyo!
==============================
==============================
Miezi kadhaa nyuma humu jamvini ilikuja habari ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, na sintofahamu inayoendelea ndani ya taasisi hiyo muhimu: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/814215-hali-si-shwari-mamlaka-ya-vitambulisho-vya-taifa.html
Miezi kadhaa baadae bado hali si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.