Mimi nakataa wasione kwasababu ndoa inafungwa leo baada ya wiki mbili wametengana hapo hakuna ndoa zaidi ya kusumbua Wachungaji na Mapadri kila uchao wakae hivyo wapigane miti wazae. Hii ya kumchezea MUNGU hapana.
Leo ndo unajua kama kuvaa nguo za marehem ni vibaya. Hayo mamitumba unajutundika kila kukicha unajua yametoka wapi? Mara ya mwisho wewe kuingia dukani ukanuna nguo mpya ni lini. Tuanzie hapo.
Hivi vitu wanaiga kutoka huko kwa wenzetu. Na ikibainika haya mambo Yana ukweli basi naishauri Serikali ifanye kama alivyo fanya Mwalim Nyerere kuzitaifisha ziwe Mali ya Serikali kuliko hichi kizazi Kinacho tengenezwa.
Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje...
Kuna mtia nia mmoja kule Kilimanjaro alisema akichaguliwa atajenga ukuta kuziba mlima Kilimanjaro hao panya buku wasiuone, sijui kama alifanikiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilimuelewa sana yani. Piga Nyundo kabisa hao.
Nawasikilizaga sana wakenya haswa kuna kamdada katangazaji kanatangazia radio jambo, kanaitwa masawe japani baba yake ni mkamba mama yake ni mchaga, yani huyu dada ni mbuzi kabisa ukisikia anavyo inanga Tanzania utafikiri wao ni malaika. Acha waipate fresh kwanza akili iwakae sawa. Nyie yesekeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.