Search results

  1. Oluwa ni

    Mrejesho wa event ambayo nili-share humu ila kila mtu aliipita

    Poleni na majukumu Nakumbuka nilishare event inaitwa Picha Gala na kuelezea kwa kina lengo la event, gharama za ushiriki n.k lakini sikupata reply hata moja Nimeona sio vibaya nikileta mrejesho wa Event hyo ili hata kwa wasaa mwingine iwe amasa kwa watu kushiriki IFAHAMU PLATFORM YA PICHA...
  2. Oluwa ni

    IFAHAMU PLATFORM YA PICHA GALA

    PICHA GALA III Ni Platform ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo la kuwakutanisha vijana wanaofanya vitu/ kazi, Career na Vipaji tofauti tofaut kwa lengo la kusocialize, kupeana skills na knowledge pamoja na kushare vitu tofauti na kupeana opportunities. Hii ni mara ya III itafanyika...
  3. Oluwa ni

    INAUZWA Canon d1200 new

    Clean and good condition Mpya ila unboxed Lens 18-55 mm Come with 2 card 8g and 16gb 1 Battery and canon charger Call or text 0674982656 Bei 850,000
  4. Oluwa ni

    Ni zaidi ya offer

    Nauza nikon d3000 Lens 55-200 mm Nakupa charger yake Battery la uhakika Memory 4gb Bei 650,000 Anayehitaji mawasiliano 0674982656 Karibu
  5. Oluwa ni

    INAUZWA Canon 700D New

    For Sale Canon 700D Lens 18-55mm & 75-300mm Charger, MMC, All for 1.4M only Only seriously buyers DM [emoji395]
  6. Oluwa ni

    SHUKURANI MKUU @HANS POL

    Habari za muda huu wakuu Naamini mpo salama na mnaendelea vyema katika shughuli zenu.... . Binafsi niko sawa namshukuru MUNGU Lengo la kufungua uzi huu ni kutoa shukurani zangu za dhati kwa Hans Pol Kupitia uzi wa namna ya kucheat dream league soccer niliona akiwa anawaelekeza watu tofauti na...
  7. Oluwa ni

    SHUKURANI KWAKO HANS POL

    Habari za muda huu wakuu Naamini mpo salama na mnaendelea vyema katika shughuli zenu.... . Binafsi niko sawa namshukuru MUNGU Lengo la kufungua uzi huu ni kutoa shukurani zangu za dhati kwa Hans Pol Kupitia uzi wa namna ya kucheat dream league soccer niliona akiwa anawaelekeza watu tofauti na...
  8. Oluwa ni

    INAUZWA Nauza camera (nikon d3000) bei poa

    Habari zenu wakuu...... Poleni na majukumu ndugu zanguni Nauza camera aina ya Nikon D3000 Specification LENS 55-200mm Memory 8Gb Betri yake inatunza moto Nakupa chaja yake pamoja na Beg lake Haina tatizo lolote lile bado iko katika hali nzuri na inapiga picha clear Bei 850,000 (850k)...
  9. Oluwa ni

    NAUZA CAMERA (CANON)

    Habari zenu wakuu.... Nauza camera aina ya canon D1100 Iko katika hali mzuri, haina mchubuko wala mpauko Ina lens 18-55mm Chaja yake pamoja na betri mbili Pamoja na mkoba wake..... Bei ni 600k yaani laki 6 MAONGEZI YANARUHUSIWA, ATAKAYEHITAJI ANICHEK PM AU 0674982656 Inapiga picha...
  10. Oluwa ni

    Nahitaji camera (canon au nikon)

    Wakuu habari zenu..... Poleni sana na majukumu.... Nahitaji camera aina ya canon au nikon Condition 1. Iwe used au mpya 2. Iwe katika hali nzuri 4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens 3. Bajeti yangu ni 400k Ambaye anayo aje PM
  11. Oluwa ni

    Nahitaji Laptop aina ya HP

    Habari zenu wakuu Natumai wazima kabisa, poleni na majukum ya kulijenga taifa Kama kichwa ninavyojielezea nahitaji laptop iwe used ambayo haijachoka sana lakini au mpya SPECIFICATION 1. AINA IWE HP AU TOSHIBA 2. RAM IWE KUANZIA 3GB ALAFU HHD KUANZIA 300GB 3. HATA KAMA NI USED ISIWE MBOVU 4...
  12. Oluwa ni

    MSAADA PC YANGU HAIWAKI

    Wakuu habari zenu... Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10.... Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo nikaamua kuirudishia window 7... Wakati napiga window 7 ikawa inagoma kabisa na mpaka sahivi...
  13. Oluwa ni

    Msaada kwa wale wa G. S na developnment studies

    Naomba msaada wa ilo swali........ . Nipate point tu Asanteni.......
  14. Oluwa ni

    Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

    Habari zenu wakuu, Nadhani wengi mtakuwa mnakifahamu chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT). . Binafsi jana nilikuwa nimempeleka dogo wangu akasajiriwe maana pale usajiri umeaanza tarehe 28/11 na hivyo nikaona sio mbaya nikienda na dogo wangu wa kiume ili tukiwa wawili tuweze kukabiliana na...
  15. Oluwa ni

    Mkopo elimu ya juu 2016/2017 (UDOM)

    Wizara ya Mikopo Chuo kikuu Dar es salaam inawatangazia wanafunzi wote na kuwapa mrejesho juu ya masuala ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na mwaka wa kwanza. 1. WANAOENDELEA NA MASOMO (CONTINOUS STUDENTS) Kama ilivyokuwa katika yetu ya awali kwamba majina ya mgawanyo wa fedha kwenye chakula...
Back
Top Bottom