Search results

  1. Oluwa ni

    Mrejesho wa event ambayo nili-share humu ila kila mtu aliipita

    Poleni na majukumu Nakumbuka nilishare event inaitwa Picha Gala na kuelezea kwa kina lengo la event, gharama za ushiriki n.k lakini sikupata reply hata moja Nimeona sio vibaya nikileta mrejesho wa Event hyo ili hata kwa wasaa mwingine iwe amasa kwa watu kushiriki IFAHAMU PLATFORM YA PICHA...
  2. Oluwa ni

    IFAHAMU PLATFORM YA PICHA GALA

    PICHA GALA III Ni Platform ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo la kuwakutanisha vijana wanaofanya vitu/ kazi, Career na Vipaji tofauti tofaut kwa lengo la kusocialize, kupeana skills na knowledge pamoja na kushare vitu tofauti na kupeana opportunities. Hii ni mara ya III itafanyika...
  3. Oluwa ni

    Photographers' Corner

    Hii nimepiga kigoma, Lake Tanganyika
  4. Oluwa ni

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana BONAVENTURE KACHILA
  5. Oluwa ni

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana mkuu nimeipata, bado hii ya "Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo"
  6. Oluwa ni

    Professor Jay Ndio anatokomea !

    Miaka 11 nyuma ulichokisema mbona kinarelate na current situation 🤔
  7. Oluwa ni

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kwa wasikilizaji wa Radio free africa kipindi hicho kila jumapili kulikuwaga na kipindi kinaitwa Indian style Kuna wimbo ulikuwa ukitumika background, nimeattach namna ulivyokuwa ukiimbwa tafadhali anayejua jina la wimbo au mwenye nao naomba. Natanguliza shukrani
  8. Oluwa ni

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu kwema Naomba nyimbo zifuatazo either majina ya mwimbaji au jina la wimbo "Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo" Nyingine inaimbwa "nina mdodo wangu eeee... Naangusha moja moja leo... Inama inuka...
  9. Oluwa ni

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kamusi siku hizi hazitumiki sana watu wana smartphone
  10. Oluwa ni

    Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Said Said anajua sana
  11. Oluwa ni

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    nahitaji chumba maeneo ya lego kuelekea sinza, chumba na sebure Maji, umeme, tiles, gypsum muhimu Isiwe mbali na barabara, usalama muhimu, bajeti ni laki kwa mwezi
  12. Oluwa ni

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba mwenye wimbo mpya wa diamond platnumz ft alikiba & ommy dimpoz- lulu
  13. Oluwa ni

    Tupia Avatar Unayoiona Inakuvutia, Inakushangaza, Inakuchekesha e.t.c

    Bujibuji [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. Oluwa ni

    JamiiForums Usiku wa manane

    Huku kwetu ni saa 23:23
  15. Oluwa ni

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usingizi sina Leo ni Hallelujah tu
  16. Oluwa ni

    Tuma salama kwa member watatu!

    Mkuu uko wapi siku hizi Bujibuji Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Oluwa ni

    Tuma salama kwa member watatu!

    Nifah buzi lisilochunika STUNTER Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Oluwa ni

    Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

    Sawaaa Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  19. Oluwa ni

    Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

    Sawa [emoji16] [emoji16] [emoji16] Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  20. Oluwa ni

    Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Back
Top Bottom