Search results

  1. relis

    Wakazi wa Dar es Salaam, manyunyu kidogo tu mnalalamika. Tatizo ni nini?

    Habari wakuu? Nijiuliza inakuwaje wakazi wa DSM manyunyu kidogo kelele JF, huku DSM mvua kubwa tunashindwa kulala, sijui kama kutakucha. Mwingine kaenda mbali anasema kutokana na Radi watoto wamehamia chumbani kwake Kwa hofu nimeshangaa watoto gani hao. Vijimanyunyu kelele JF, DSM inazalisha...
  2. relis

    Msaada injini inapunguza oil

    Wakuu Habari! Ndugu zenu! Nina gari yenye engen ya 7a-fe Toyota nimetembea km 2700 oil imepungua Lita 2.5 ilianza taratibu mpaka kufikia hatua hiyo. Engen Haina leakege kabisa ila imeanza kutoka Moshi ukikanyaga mafuta mengi then unakata gari inakimbia vzr tu na exos. Asbh ukiwasha ikakaa...
  3. relis

    Msaada: Ads zinanilia data

    Wakuu kama kichwa habari kinavyojieleza. Simu yangu kwasasa ni mwendo wa matangazo ya 1x bet, mara magame naamua kujipumzishia zangu fuvu niingie JF matangazo yanaibuka Data ya mawazo ni mwendo wa kuisha tu GB 1.4 siku moja tu imekata msaada tafadhari simu yangu ni Infinix hot 10i sikumbuki...
  4. relis

    Waziri Mkuu ingilia kati kwa Kamishna wa Ardhi Dodoma kuna tatizo kubwa

    Waziri Mkuu msaada wako unahitajika kwa wakazi wa Nzuguni A, Kumekuwepo na shida kubwa ya upataji wa Control No ili kukamiliza zoezi zima la upatikaji wa hati binafsi nimehangaishwa na Jiji mpaka kuja kupata Control Number ya malipo ya Ardhi jasho limenitoka urasimu ulikuwa ni mwingi sana...
  5. relis

    Msaada: Matumizi sahihi ya mbegu ya Alizeti

    Habari! Wakuu naomba elimu kwa ufupi kujua hii mbegu ya alizeti anayogaiwa na serikali huko kwenye maduka ya pembejeo inauzwa kiasi gani kwa ujazo wa kilo mbili na je ni aina gani ya mbegu na Tija yake ipije kwa gunia moja la debe saba linatoa mafuta kiasi gani.
  6. relis

    Mama Samia NZUGUNI A Dodoma bado chamoto mradi wa urasimishaji makazi.

    Hongera sana mama kwa makubwa yanayoonekana katika Taifa hili na hatua unazozichukua katika kutuletea maendeleo tunashukuru tunaahidi kufanya kila jema kuleta maendeleo katika Taifa hili. Niendee moja kwa moja kwenye mada inayohusu changamoto ya mradi wa kulasimisha makazi katika eneo Nzuguni A...
  7. relis

    Charlie Pride, nguli wa muziki wa Country afariki dunia kwa Covid-19 akiwa na umri wa miaka 89

    Mwanamuziki nguli wa nyimbo za Country aliyetamba na vibao kama "Just for the love", "Standing in my way" na vingine kibao ameaga dunia Disemba 12 kwa Corona,tutamkumbuka nguli Huyu kwa sauti murua kabisa,Apumzike kwa amani. ======== NEW YORK (AP) — Charley Pride, one of country music’s...
  8. relis

    Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma naye ni jipu. Mhe. Rais mmulike anakwamisha maendeleo ya Nzuguni

    Hili suala la urasimishaji katika eneo la Nzuguni Dodoma ni Jipu lililoshindikana. Takriban mwaka wa pili sasa na nusu zoezi la kurasimisha makazi limekuwa likienda kwa kivivu, Ujanjaujanja na kila aina ya dhulma kwa watu waliokuwa na maeneo katikati eneo hilo, kuna watumishi wa manispaa hasa...
  9. relis

    Nzuguni Dodoma maji tabu njoo ufanye ziara ujionee

    Salaam! kama kichwa kinavyojieleza Mh. Rais urudipo Dodoma itapendeza ukafanya ziara hapa mjini kuna tabu kubwa ya maji hasa maeneo ya Nzuguni na kukatika Mara kwa Mara kwa maji hata ikitokea yakatoka,Siku yakitoka pressure ni ndogo na yanaanza saa 7 usiku ukiulizia kwa manager wa Duwasa na...
  10. relis

    Ushauri: Nina milioni sita nahitaji kuwekeza katika ufugaji

    Salaam wakuu! Baada ya kuhangaika sana nimefanikiwa kupata milioni 6 ya mkopo bank, sasa nilikuwa nahitaji kuwekeza katika ufugaji, eneo la kufugia ninalo tayari lenye ukubwa wa heka 30 na ni eneo la mashambani kidogo. Kwa eneo nilipo kwa ujenzi naweza tumia tofali za kuchoma kwa ujenzi kwa...
  11. relis

    Msaada kuhusu machine za kufulia nguo

    Habari za jioni! Wakuu, kama heading inavyojieleza, baada ya kuona mitandaoni wimbi la uuzwaji wa mashine za kufulia za brand tofauti tofauti kama LG, Sumsung, Arborder, Delta, Westpoint n.k. Nimepata ushawishi nije ninunue walau kumpunguzia majukumu wife. Je, brand gani nzuri ukiacha kampuni...
  12. relis

    Je, pesa haiwezi kubeba virusi vya Corona?

    Wakuu Habari! Kutokana na changamoto ya ugonjwa usababishwao na virus vya Corona nimejikuta najiuliza swali lifuatalo. Je, kwenye mzunguko wa pesa mara ninayo mimi baadae inaenda kwa mwingine, haiwezi kubeba virusi? Maana inashikwa na kila mtu na chain ni ndefu. Au ndio nazo tuzioshe na...
  13. relis

    Waziri Lukuvi: Mwisho wa urasimishaji wa ardhi March 31

    Mh. Waziri wa ardhi umesema mwisho zoezi la kurasimisha ardhi ni tar. 31. je amri hiyo ni kwa Dar es salaam peke yake au nchi nzima? Maana kwa Dodoma tumelalamika mpaka tumechoka hasa kwa eneo hili la Nzuguni mwaka wa pili sasa zoezi limesimama,wananchi wamechoka kusubiri katazo la kuzuia...
  14. relis

    Waziri Lukuvi: Waheshimiwa wabunge, Wananchi wenye matatizo kuhusu ardhi waleteni

    Baada ya kufuatilia vyombo vya habari kauli hii niliisikia wakazi waziri Lukuvi akijibu hoja za wabunge kuhusu migogoro mbalimbali ya ardhi, na maeneo ya makazi yasiyorasimishwa hapa nchini. Kwa utatuzi wa migogoro ya ardhi na kurasimisha makazi umefanikiwa kwa kiasi kikubwa lkn katika eneo la...
  15. relis

    Hivi waziri mwenye dhamana ya mawasiliano ana maslahi na hawa Mojashesho?

    Wakuu kwema? binafsi nakwazika sana na hizi sms nisizozihitaji toka kampuni za simu bila idhini yangu,kila simu napokea jumbe zisizopungua nne au tano zikinitaka nigombee mamilioni,kuna wakati najiuliza hivi hata Mh. Rais nae anapata jumbe zenye kukera kiasi hiki tena asizoomba atumiwe? au labda...
  16. relis

    Wanaume wa dar tupeni update za chui wa goba.

    Takribani miezi michache nyuma tulipata taarifa ya kusisimua baada ya kuonekana chui aliyezua taharuki kwa wakazi wa dar mpaka kupelekea vichwa vya familia kurudi mapema majumbani mwao,yaani saa 10 jioni wake kwa waume wapo ndani ya wavu/madirisha wakifuatilia chui atatokea upande upi ili wapate...
  17. relis

    Msaada kwa wapenzi wa animation

    Wakuu kwema? nilikuwa naomba msaada kwa wale waliowahi kuiona cartoon ya muda mrefu na ilikuwa inaonyeshwa itv kipindi hiko,story yake kuna mtu mkubwa kama sisi binadamu wa kawaida ila ataibujia sehemu kuna viwatu vidogodogo vitambananisha kwa mateso inafurahisha sana mwenye kuikumbuka nataka...
  18. relis

    Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

    Wanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki...
  19. relis

    Mh. Waziri Mkuu tunakuomba uingilie kati suala la upimaji ardhi Nzuguni Dodoma

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,tunakuomba uingilie kati mchakato huu wa upimaji uweze kuisha haraka iwezekanavyo,kama Nzuguni A hatua zote za upimaji ikiwemo uhakiki wa maeneo mpaka uwekaji wa bicon za viwanja umekamilika na mpaka kufanya uhakiki wa maeneo kwa maeneo yenye mgogoro...
  20. relis

    TCRA msaada, nimechoshwa na SMS za moja spesho

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechoka na sms zao nitumiwazo kila siku bila ridhaa yangu utadhani simu wameninulia wao ,Nimejaribu kununua simu janja nyingine jamii ya tecno yenye kaprograme ka kublock, nimejaribu kublock namba yao sms isifike lkn wapiiiii nimechocha sasa na hawa supa5...
Back
Top Bottom