Search results

  1. relis

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Hukusikia kuwa kasaidiwa na Marekani,Uingereza na Jordan kupopoa makombora powerfull ipi unayosemea
  2. relis

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Hilo ni jengo la wayahudi waislam Msikiti wao upo pembeni hauna likichuguu linalong'aa na hilo ndio tatizo tumeaminishwa hivyo kuwa ndio jengo la Msikiti ili siku Msikiti halisi ikivunjwa tuukatae bahati mbaya hatupotezwi
  3. relis

    Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Ardhi wamepewa,nyumba wamepewa milioni 10 mkuu wa kaya kapewa wanataka Nini sasa,wasilete mambo ya hovyo wakirudi wapotezeni si lazima kuwa na wamasai wapumbavu wachache
  4. relis

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kwani mkuu Kila anayevaa kanzu ni Muislam? Usikalili Muislamu wa kweli hawezi kufanya unyanyasaji wa aina yoyote kinyume chake si Muislam rejea makundi ya kigaidi ni nani aliyeyaanzisha na ili iwaje,tambua waislam hatutendi uzuri ili utusifie ila ibaki uelewe soma misingi uuelewe usitangulizwe...
  5. relis

    Msaada: Huyu ni nyoka wa aina gani?

    Huyo ni koboko ila ni Bado mtoto sasa hapo baba na mama yake itakuwa wanamtafuta mtoto jipange mkuu
  6. relis

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Pia ni Mmoja ya binadamu mwenye roho mbaya na dharau mno ila asiyemfahamu hawezi kuyaona
  7. relis

    FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

    Mzee wangu huyu Hana baya Kwa kweli tumetangazia tangazo lake la maziwa tukapewa packet 2 za maziwa fresh imeisha hiyo anaingiza pesa kupitia watoto wa kimara baruti nikirudigi home mwanangu hujambo imeisha kwasasa maradhi umri umeenda pia
  8. relis

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unaposema fununu kwani hujui Mfadhili wa makundi ya kigaidi na kwanini yalianzishwa,au bado waamini kuwa ni waislam wenye itikadi Kali na je dhamira yao ilikuwa ni Nini hilo umejiuliza kingine katika Uislam haujaelekeza kwenda kuua nama walivyofanya Kwa misingi ya kidini,kisiasa au kijamii.
  9. relis

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin Huwa hakurupuki kwenye kujibu atajibu Kwa vitendo au atatolea ufafanuzi baada ya majibu ya uhakika kupatikana
  10. relis

    Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

    Ukafiri ni mzigo ktk maisha ya mwanadamu,Muislam haangaiki na kafiri ila kafiri wasiwasi kibao,Muislamu akijaribu kujinasua anaitwa gaidi Dunia nzima adui ni muislam
  11. relis

    Moja ya sababu ya kuingiza somo la kiislam ktk tahasusi ni kuaanda mazingira lugha ya kiarabu iwe ya lazima kuanzia ngazi za chini hadi juu

    Kwani Kila mwarabu ni Muislam au Kiarabu ni Uislam Kafiri(Usiye na dini) mbona Wakristo hawalalamiki.
  12. relis

    Sauti ya umauti masikioni mwangu

    Hii wiki naona wengi wanaaga inasikitisha sana
  13. relis

    Rais Samia amtumia Salam za pongezi Rais Vladimir Putin kwa Kuchaguliwa tena Kuongoza Russia

    Zelensky nae kasema anaangalia Marais wote wanaompongeza Putin
  14. relis

    Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Ni kweli wale wanaoufuata Uislam wanaamua kuukataa Ukafiri
  15. relis

    Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Kuzaliwa kafiri ni shida sana.
  16. relis

    Kilimanjaro: Aliyekuwa Mhasibu Mapato Same afungwa jela Miaka 20 kwa Ubadhirifu

    Hii nchi ngumu sana nikikumbuka yule mzee balozi aliyekula pesa za ujenzi wa ubalozi kule nchi Gani sijui alifikishwa MAHAKAMANI akafungwa miaka miwili alipotoka akapewa ujumbe katika bunge la katiba
  17. relis

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Kwani mkuu tatizo liko wapi ukaenda ubalozini Kwa Marekani ukawaambia wakupe japo nusu tani ukala na familia yako bila sie.
  18. relis

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Mh. Kwa Ufafanuzi wa haraka Kwa namna hii itapunguza majungu na manung'uniko, Upelelezi huo ukamilike Kwa wakati bila Kuleta mashaka Kwa kutokumuonea au kupendelea yeyote ili haki iweze kutendeka,Hongera Sana mama na nikutakie majukumu mema.
Back
Top Bottom