Search results

  1. msonobali

    Hii nchi kila kona fremu

    We Achana na tabia za kichawi hizi
  2. msonobali

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Hivi lini tutajitambua? Kwani msaada lazima uupokee, kwanini wasituletee msaada wa technology ya kilimo cha umwagiliaji kama kweli wanatupenda?
  3. msonobali

    Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

    Kwa khali hiyo ndo elimu bure je ikiwa ya kulipia? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msonobali

    Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Na Tanzania sio ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. msonobali

    Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

    Akikujibu muulize kwanini amerudi kwa kupitia dirishani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. msonobali

    Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Maswali yako yanaakisi jina lako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. msonobali

    Steve Nyerere: Uchaguzi wa 2020 niliwekewa Sumu kwenye Chakula (Kitimoto) lakini namshukuru Hayati Membe aliingilia Kati

    Taifa lilifika pabaya mpaka chawa walikuwa wanawindwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. msonobali

    Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Urais mtamu huyo mnaye atoki ng'oo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. msonobali

    Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    Ndoa maana kajiandalia kaburi na jeneza kwa aliyoyafanya anahisi akifa mnaweza mkautupa mwili wake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. msonobali

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji ajiondoa kutetea nafasi ya Uenyekiti ACT

    Kashindane na bi Kizimkazi uone kama nyumba yako haijageuka ofisi ya kitengo na polisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. msonobali

    Fatma Karume: Wananchi wa Tanganyika waulizeni CCM kwanini hawataki Tanganyika Iwe na Rais wake? Wazenji Si Adui wenu kwa hili!

    Wanahofia uthibiti utakuwa mgumu serikali mojawapo inaweza kuangukia mikononi mwa upinzani
  12. msonobali

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Na hiki ndicho investors wote wanatufanyia. Wanakuja na briefcase tu na mikataba.
  13. msonobali

    Israel isijidanganye

    Weita muongeze mbili azimue la. Jana
  14. msonobali

    Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Umechambua vizuri umemaliza kishabiki
  15. msonobali

    Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Si ndio umeambiwa miaka 2 nyuma, au hujui kusoma kalenda ya kiislamu?
  16. msonobali

    Waalimu tunadharauliwa sana hivi kwanini?

    Msidharaulike kwanini ikiwa mnawasaidia kuiba kura.
Back
Top Bottom