Search results

  1. K

    Tunaanza na Tume Huru Kwanza

    t then what the way forwad kama CCM hawataki Please
  2. K

    Tunaanza na Tume Huru Kwanza

    mzee kama CCM hawataki hiyo katiba mpya itapatikana vipi? Please explain kwa mfano tu tume hii iliyopo ndio isimamiye kura ya maoni ya katiba mpya itakuwaje please lete fikra zako
  3. K

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    hana lolote ni uharo mtupu engekuwa ana akili asinge kwenda CCM na wale wale tu
  4. K

    Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    ni Uharo mtupu ivi wewe kwa akili zako matope hii nchi toka mwaka 1961 mpaka leo chama gani kinatawala
  5. K

    Mohamed Said ana siasa za kulialia

    na wakaloni pia walijenga hospital mabarabara kwahivyo walikuwa sio wabaguzi
  6. K

    Rais Samia ni mpango wa Mungu kuwavusha Watanzania

    Mimi naona CCM ni laana ya Mungu kwa watanzania ni lazima watanzania watubie
  7. K

    Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

    hata akiongezewa mpaka 3000 ndio iwe nn CCM wamefeli hawana uwezo wakuleta jambo lolote la maana katika nchi hii
  8. K

    Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    mzee wacha porojo na uwongo Please tuelezee ni vipi Tanganyika wamepoteza sovereignity please no porojo na pia utueleze ni nini maana ya sovereignity na tanganyika wapeipotezaje kwa hisani yako please please
  9. K

    Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

    kuna gaini anaweza kumshinda gaini ccm na vyombo vya dola
  10. K

    Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

    hakuna cha tume wala babake nani serikali yote pamoja na vyombo vyake ni uharo mtupu.
  11. K

    Ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za Wizara zisizo za Muungano zikijadiliwa?

    hizo ni degree fake za kanisani madhumuni ni kuonesha wakristo ndio walio soma tu nchi hii
  12. K

    Ni sahihi kero za Muungano ni kipaumbele cha Rais Samia kuliko Katiba Mpya?

    mzee naona hii nchi bado hujaijuwa au unababaisha tu watu nchi hii Tanzania ni nchi ya kanisa katoliki amri yoyote nilazima ipasishwe na kanisa hicho kikao ni babaisha bwege tu hakuna kitu hapo , ni usanii tu
Back
Top Bottom