Search results

  1. Kingfisher

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Vita mbaya sana, isikie kwa jirani tu
  2. Kingfisher

    Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya
  3. Kingfisher

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ndio naingia kwa bed kama ninja
  4. Kingfisher

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Mimi baada ya kupigwa tukio, currently natumia logic zaidi ya hisia
  5. Kingfisher

    Wadada wengi hawajisafishi

    Hivyo vimchele vinatoka wapi mkuu?
  6. Kingfisher

    Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Utatembea kwa miguu Dar-Dom?
  7. Kingfisher

    Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    The same applies kwangu asee…..wakiwa na shida uwasaidie wao tu…ukiwa na shida wewe hakuna rangi utaacha kuona….sihitajji marafiki
  8. Kingfisher

    Utunzaji wa vyakula kwenye friji

    Langu linawaka 24/7 hata kama lina maziwa lita moja tu
  9. Kingfisher

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Hii nchi inaumwa
  10. Kingfisher

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Mchape warning letter….akizingua baada ya hapo timua
  11. Kingfisher

    John Casian mikononi mwa polisi kisa Konyagi bandia

    Bad day at work kwenye hustling
  12. Kingfisher

    Tatizo la Ethiopia ni nini hadi raia wake kuikimbia nchi yao kwa mamilioni?

    Ethnic violence ni moja wapo ya issues pia….huwezi kukaa sehemu hakuna amani. Kuna ethnic groups zaidi ya 80 na karibia zote zinai-confront serikali
  13. Kingfisher

    Tatizo la Ethiopia ni nini hadi raia wake kuikimbia nchi yao kwa mamilioni?

    Inaonekana wewe ndio umekariri mkuu…uchumi Ethiopia wane-hold watu wachache sema baada ya bwana Ahmed kuingia amejitahidi ku-bridge gap la wasiokuwa nacho na ma don
  14. Kingfisher

    Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

    Propaganda za Westerners…and they are too good kutumia big media kama BBC na CNN
Back
Top Bottom