Search results

  1. Divine...

    Nini kinafanya watumishi wa Mungu waachane ktk mahusiano yao ya ndoa?

    Kuwaombea tu, ndoa ni taasisi yenye vita. Mm sijui kilochovunja ndoa zao. Lakin kwa ambao bado hawajaingia huko, msioe au kuolewa na utumishi, oleweni na mtu. Kaa chin umjue huyo mtu kwanza , ukiweza kumfaham huyo mtu, ndio uolewe naye na ujihakikishie ni mtu ambaye Mungu amekupa. Angalia aman...
  2. Divine...

    Ulipokuwa una umri wa miaka 10 ulikuwa unaweza kufanya kazi gani za nyumbani?

    Nilikuwa naweza fua nguo zangu na kufagia uwanja . Nguo zilikuwa zinafubaa, kuchota maji. Kupika nimeanza darasa la 6
  3. Divine...

    Kwanini tunaibeba DP World kiasi hiki?

    Dont worry Mungu yupo kazini. Na wanajua hilo.
  4. Divine...

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Kuna mwanafunzi kamaliza miaka 3 iloyopita ananiambia mwl alikuwa anawa amsha sa 11 asubuhi wafanye usafi, wakimaliza anarudia kukagua alikuwa anawapiga kama sio watu. Sasa hapo alikuwa bado hajaolewa, akaolewa akaachika na hana mtoto itakuwa stress zimeongezeka mara mbili, wamtafutie msaada...
  5. Divine...

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Loleza girls mateso hayajaanza mwaka huu, miaka mingi sanaa, nakumbuka mwaka wetu sisi,kuna mwanafunzi alikufa kwa uzembe wa walimu, et mwanafunzi anadeka. Wazazi fuatilieni shule za watoto na sio kutoa hukumu watoto hawana adabu. Pande zote mbili ziangaliwe
  6. Divine...

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Shule yangu, nilisha sema sito ruhusu mtoto wangu mdogo wangu asome hapo. Kuna mateso sana, nilijua wameacha. Watu wa nje hawawezi elewa, lakini nina uhakika huyo mwalim hadi kugomewa hivyo na taarifa kufika nje itakuwa walichoka. Sijui siku hizi kama simu wanaruhusiwa, itakuwa mmoja wa...
  7. Divine...

    Wakili Mwabukusi kachukua point zote kuhusu mkataba wa DP World

    Mm yangu magoti, tunawaombea. Mungu aikumbuke nchi yangu
  8. Divine...

    Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Ubinafsi ni mbaya, nyumbani kwako familia ife njaa, halafu upo busy kupeleka chakula kwa jirani wasife njaa. Upendo huanzia ndan ya nyumba. Chakula kitoshe ndani kwanza ndipo wengine wapewe
  9. Divine...

    Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Jamani Kiranga UMUGHAKA yaishe msije shia pata ban bure. Kila mtu afanye anachoweza. Unaye omba kusaidiwa kama kiranga hawez kukusaidia usilaumu, ukute sio mlango wako huo. Watatokea wengine watakusaidia. Msije kosana hata sura hamfahamiani.
  10. Divine...

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Hilo ni jeraha la ndani huwez mponya Kwa vitu vya nje. Kila dhambi Ina gharama yake ya kulipa. Jipangie ratiba, ya kuomba na kufunga kumuombea Mungu amponye huo Moyo ili akae sawa. Tena sio tu kumuombea akae sawa, uombe Toba Kwa Mungu Kwa kuruhusu uovu ukapita hapo, na umebomoa nyumba yako Kwa...
  11. Divine...

    Aangua kilio baada ya mpenzi wake kuolewa kwa siri

    Kuna movie Moja nili Iona zaman nahis 2007 , huyo mkaka akitembea na mdada tu, huyo mdada lazima aolewe, Sasa wadada wakawa Wana ongozana wanataka wawe na huyo kaka ili waolewe. Nimeisahau hiyo movie ila Kuna watu watakuwa wanaijua.
  12. Divine...

    Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

    Mazingira yasikubadilishe, Kaa hivyo hivyo Kuna watu watabadilika kupitia wewe hata kama hawasemi.
  13. Divine...

    Aangua kilio baada ya mpenzi wake kuolewa kwa siri

    Pole, ukute alikuwa hayupo tayar kumuoa Kwa muda huo. Akapata anayeweza muoa. Shida mdada angeachana na jamaa kwanza ndio akaolewe, maumivu kidogo yangepungua Kwa jamaa
  14. Divine...

    Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    Mbeya nakumbuka 2011, kulikuwa na kampen vua mkono wa sweta
  15. Divine...

    Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Rafiki ukileta Uzi usiwe na hasira. Umeleta Ili tusome, na wachangiaji Kila mtu ana akili yake. Ukiwa na hasira utaambulia kuumia na watu huwajui hata sura, relax ujifunze na tujifunze, hakuna anayejua Kila kitu, sio lazima ujibu Kila kitu
  16. Divine...

    Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

    Aha ha sijui anatuona vipi.
Back
Top Bottom