Search results

  1. intelinside

    Artificial Intelligence ni ulaghai

    Na hiyo ndio sababu inaitwa na itaendelea kuwa na kufahamika kama Artificial Intelligence. Kwa kweli mpaka sasa imefikia pakubwa sana, infact yapo magari yanaendeshwa kwa AI fuatilia huduma ya taxi inaitwa waymo uone jamaa walipofikia, ni balaa. Ukizungumzia kukuzwa, yes, ndio biashara...
  2. intelinside

    PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    Mtoa mada inaonyesha haufahamu haya mambo kwa ustadi wake, yaani wewe bado una mtazamo wa software au app development ki uanafunzi sio ki professional. Hili ni tatizo la watanzanaia wengi kwenye industry ya IT, ukishangaa hili la JF, na ukajenga hoja zako za kwa nini hawakuandika code from...
  3. intelinside

    Nawezaje kubadili Jina kwenye Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto?

    Hana sababu ya kubadilisha, yeye andelee na maisha, kwenye mambo yote muhimu kiserikali atumoe majina ya kwenye cheti cha kizaliwa, hilo la kikatoliki aliyumie huko huko katolikini... Mtoto akikia afahamishwe majina sahihi ya kitumia kwenye nyaraka muhimu za kiserikali atumie lile liloko kwenye...
  4. intelinside

    Naumizwa sana na namna ambavyo TISS inakuwa ni ya siri kweli kweli, vijana ambao tuna project zetu sometimes tunahitaji sana support yenu

    Hahah, hao watu kama uliyemtaja, ni janjajanja ya kujua kuongelea products za wazungu tu na kuwatafutia masoko, hakuna talent yoyote hapo sanasana wana exposure tu. Yes wazungu wanawatumia ndio lakini si kuwatengenezea mifumo, la hasha, bali wanawatumia kuwatangazia bishara zao. Ikiwa hichi...
  5. intelinside

    SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements

    This is one of the most intellectual and polite critique... Kudos mdau!
  6. intelinside

    Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

    Ninaamini itakua hivyo ikiwa from the beginning ulidhamiria kufanya hayo, lakini kama wakaui mkiwa pamoja huyo anayethani ni victim kumbe alizingua yeye ikapelekea ulichomuahidi usikitimize, basi atasubiri sana hiyo karma itokee
  7. intelinside

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Kwanza pole, pili jipige kifuani sema mimi ni mjinga sana kuamini katika hila za shetani ikiwa ni kweli ulichoandika ndicho. Haya ni maoni yangu sasa, kama umesema kijana ni fundi, basi hajaanza kwako, kama ni business partiner ipo uwezekano anakuvuna, usijidanganye na maneno ya atakuoa na...
  8. intelinside

    Silaha za nuclear ziliwahi kujaribiwa wapi duniani hapa tukayathibitisha madhara yake?

    Habari wajuvi!, Naomba kufahamishwa ni wapi au namna gani zilijaribiwa hizi silaha za nuclear na hydrogen zinazoongelewa kila siku kuwa zikitumika dunia itaangamia? Natamani kujifunza tafadhali.
  9. intelinside

    Mbwa kupiga kelele (kulia) wakati wa adhana ya asubuhi hutokana na nini?

    Uko sahihi, mbwa kuna baadhi ya milio au sauti huwa wanafsiri tofauti na sisi binadamu tunvyosikia ndio sababu na yeye(wao) hujobu kwa sauti ya wooouuuuu. Mimi ninaishi jirani sana na msikiti, pia nina mbwa, adhana ikilia mbwa huwa kimya tu anaendelea na maisha yake, lakini huwa kuna kigari cha...
  10. intelinside

    Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

    Waambie wasepe kistaarabu...
  11. intelinside

    Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Uko sahihi brother, we tunatakiwa kujitathmini kwa dhati ili kuijenga nchi yetu kiukweliukweli
  12. intelinside

    Hiki chuo cha Utumishi wa Umma mliosoma hapa kuna kutoka kimaisha kweli?

    Ni kati ya vyuo credible sana kupata kazi serikalini. Sijui kwa sasa na anasomea kozi gani.
  13. intelinside

    Naomba kufahamu kuhusu Elimu ya masafa (Open University)

    Yaelezee hapa tupate kifahamu pia...
  14. intelinside

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Ila hii gari ndio model inayomsumbua rav 4 sokoni, pia inasifiwa na baadhi ya wazungu kua ndio reliable zaidi ya rav 4
  15. intelinside

    Msaada kudecypt Aeur file

    Hapo hakuna namna utarudisha hizo files bro... Unless utoe hizo dola lakini pia si wa kuaminika wakilipwa wanaweza wasikupe key sahihi
  16. intelinside

    Wakuu nisaidieni formula hii ya Excel

    Hapo hapo kigezo ni replies, sasa si kila comments zenye likes nyingi zina replies, hivyo ukitaka kigezo cha likes unaweza kuongeza hiyo criteria kwenye likes, ili uone
  17. intelinside

    Wakuu nisaidieni formula hii ya Excel

    Mdau, sidhani kama kuna formula ya filtration, ila ukiangalia file lako lako hapa kwa umakini, nadhani unachokitaka ni hiki
  18. intelinside

    Wakuu nisaidieni formula hii ya Excel

    Cheki hilo, liko filtered with greater than 30 comments, note nimetumia WPS Office ya simu, ukifungua kwenye MS Excel itaonyesha pia
Back
Top Bottom