Search results

  1. M

    Epuka Nyumba Kudondoka kama Indira Ghandhi, pata Kokoto Imara za Lugoba kwa Tshs 75,000 kwa CBM

    je hii cubic meter ni equivalent na tani ngapi au lori ngapi? My qs amenipa makadirio kwa kutumia trip za lori. Please pm
  2. M

    DUAL citizenship Tanzania 2011

    je ni kweli kwamba Tanzania inaruhusu dual citizenship? T
  3. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Je, kuna mtu anyejua bei ya incubator au zipi ni nzuri Asanteni wakuu kwa jibu
  4. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Sasa fundi kwenye message yako moja umesema architect siyo fundi mchundo. Hebu nifafanulie kidogo. Wewe kama fundi mchundo unaplay part gani katika ujenzi? I had a friend Fundi mchundo who is an excellent engineer! Kwa ninavyojua Daktari na muuguzi relationship ni kuwa muuguzi anpata order toka...
  5. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Naona mambo mazuri. Je kwa kutumia hii njia unasave kiasi gani? Hayo matofali yanayoogopa maji naona kwetu hayafai kwani mvua huwezi kuizuia. Je matofali ya kuchoma yana uimara. Je matofali ya kuchoma yatakata cost kwa kiasi gani. Je kutumia matofali ya kuchoma yata compromise quality ya jengo...
  6. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Sasa Gaijin san, kwenye nchi kama hii yetu, kufanya partition what are the other options. Je zinasaidia kusave hela kiasi gani? Ukuta wa nje nisingependa kutumia kitu kingine chochote ila block. Watanzania sometimes wanaamua kuja na mafatuma, kama ukuta sio imara si itakuwa tatizo?
  7. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hii habari nzuri kabisa. Je matofali ya kuchoma ni be nafuu kuliko ya block. Na kutumia hayo ya block na ukayasimamisha utahitaji matofali machache zaidi au la. sasa fundi mchundo unasema wewe sio architect, je haswahaswa unafit wapi kwenye ujenzi? Unaelekea kuelewa sana haya mambo
  8. M

    underground water drilling

    Maeneo ya kiboriloni au majengo
  9. M

    Wachimbaji wa visima virefu

    Je hapa mnamaanisha kuchimba ili kupata underground water? Nilianzisha thread mpya kabla sijaiona hii. Je kuna anayejua kama wana ofisi Moshi. Natanguliza shukrani
  10. M

    underground water drilling

    Heshima zenu wakuu. Naulizia kama kuana anayejua uwezekano wa underground water drilling in Moshi. Je kuna kampuni au watu binafsi wanaotoa hii huduma? Je inacost kiasi gani. Natanguliza shukrani:israel:
  11. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Of course nina haraka, nimekuwa excited kurealize kwamba i can do this! Nilikuwa nasubiria nifikishe 100m, na kila nikidunduliza inatokea shughuli unapunguza principal. Vitu vinapanda bei kadri tunavyozidi kusubiri. In a perfect country with laws, Ningependa kutumia huyo fundi mchundo. I have a...
  12. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Asante tena. But c'mon, kweli ninahitaji mwaka mzima kwa ajili ya ramani? Kununua Vifaa vya ujenzi na kuweka kwa Tanzania yetu si watakuibia? Je storage wakati unasubiri kuanza? Bado nafikiri kujenga kwa awamu, ili niweze kusimamia mwenyewe itakuwa rahisi. Badala ya kuweka vifaa kwenye storage...
  13. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Asante kwa ushauri. Kama kupata ramani itanichukua mwaka mmoja, je kujenga itakuwa vipi? Any way nilikuwa nahitaji kuanza kujenga as soon as possible. Sikusema naanza kutafuta fedha. And kama nilivyoandika kwenye mail yangu nilishindwa kuanza kwa kuamini ni lazima niwe na milioni mia moja. Ila...
  14. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Je architect cost yake ya kuchora ramani ni kiasi gani? Any reccommendation on A GOOD ONE ambaye ni muadilifu. Mwaka mmoja kwa ajili ya ramani is too long. Baada ya kusoma ushauri kwenye huu mtandao nimeona nijitahidi nianze
  15. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Asante kwa maelezo na picha za nyumba. Nilikuwa naogopa kujaribu kibanda kwani sikuwa tayari kuwa na hiyo 100m. Kwa maelezo yako nimepanga kuanza kidogo kidogo. Naplan kuanza msingi, halafu nichukue likizo nyingine kupandisha kuta, halafu kupaua and so forth. Je una uzoefu na maji ya kuchimba...
  16. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Mimi swali langu ni je grarama za kujenga 4 bedroom bungalow in Moshi itakuwa kiasi gani. Je architect reliable in Moshi wako wapi. Asanteni kwa msaada wakuu
Back
Top Bottom