Pole mkuu, hii ilishanitokea pia. Ni muda nyuma nilifanya manunuzi na takribani sh laki 2 ilitoweka bila kueleweka imetoweka wapi. Huduma kwa wateja wanasema kuna changamoto katika mfumo wa mastercard tu bila kutoa suluhisho. Wanasema subiri masaa 48, yakaisha hakuna kitu, nilivutana nao nadhani...
Upo kwenye gani ipi na una ujuzi gani? Pia elimu yako. Ni ngumu kupata msaada iwapo taarifa hizo muhimu (na zingine za msingi katika CV yako) hazifahamiki
Hizi bei mkuu umezizidisha kidogo, zipo chini ya hapo.
Nimefunga HIK Vision nyumbani, DVR ya kubeba kamera 8 lakini niliweka kamera 6, ngarama yake ilikuwa jumla ni kama laki 9 na ushee. Ilibidi kununua monitor, na router pia ambayo ilifanya gharama jumla kuwa kama milioni 1 na labda laki 1 au...
USB mics situmii mkuu, hata hiyo snowball ilikaa muda mrefu nikampa mtu. Nina audio card na natumia xlr mics. Bei mpaka imekufikia ilikuwa ni kiasi gani? Inaweza kumsaidia pia mleta mada
Namna ya kuwasilisha suluhisho pia labda ni changamoto. Maana hata mimi project hiyo niliyofanya kuna ugumu ulikuwepo mwanzo lakini baada ya kuiwasilisha na kuonyesha uhalisia wa tatizo lenyewe na ukosefu wa suluhisho na pia namna tatizo linavyoongezeka mwaka kwa mwaka, kila mmoja alikuwa sold...
Nilipokuwa chuo X hapo. Wanafunzi wenzangu wengi walikuwa katika njia moja kama hii uliyochukua. Kulikuwa na system mbili nadhani za kusimamia taarifa za daktari na mgonjwa nakumbuka, kulikuwa na system za kufanya management za wanafunzi mashuleni, na kiujumla kulikuwa na management systems...
Hata kama haufanyi kazi kwa mtu, si unafanya kazi na Watanzania ili kujipatia kipato? Ndio nauliza hizo shughuli unazofanya na wewe unafanya kwa kulipua lipua pia with "zero quality"?
1. Yes it is possible, I do that every now and then. It usually takes 1 day to reflect to my Equity if the withdraw is made between Monday to Thursday. A friend has CRDB and it usually take him upto 3 days.
2. Payoneer charges $15 if the amount is below I believe $700, but they charge 2% the...
Kama nimemuelewa anachopendekeza mtoa mada ni kwamba. Maboresho yafanyike katika upande wa software ili mimi nikiweka pale natoa Milioni 1, atm yenyewe itoe 400k kisha niichukue na kubonyeza kitufe itoe tena 400k kisha 200k na kisha itoe kadi. Badala ya kurudia taratibu za kudraw tena mara tatu.
Interesting. Sikujua kama kuna ATM inaweza kutoa zaidi ya laki 4 huku kwa mkupuo. Ni atm zote au selective? Let's say kama iliyopo shoppers mikocheni (Nahisi nimewahi kuona kcb hapo sina uhakika). Au mlimani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.