Search results

  1. B

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  2. B

    beIN sportd decoder

    Nauliza mwenye uweO was kupata decoder ya beIN sports ningependa kunua mwenye information yoyote kuhus hiyo decoder anifahamishe
  3. B

    UP HELD, msamiati mgumu

    Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea sinto fahamu juu ya nini kimetokea juu ya uamuzi wa mahakama ya upeo ya Kenya wengi wakifikiri...
  4. B

    Barabara za Dar na Makonda

    Ninamsikiliza mkuu wa mkoa kuhusu kero za barabara Dar es salaam, amejaribu kueleza technical issue juu ya barabara ukweli ni kuwa amekariri terms za engineering na roads constructions in fact sijui nia yake ni nini lakini it doesnt make sense kwa hao watu waliopo kwenye kongamana, anataka...
  5. B

    Ndondo Cup na u dondo

    Jana nilikuwa nyumbani naangalia fainali ya mpira mashindano amabayo hivi karibuni yamejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa vibweka na manjonjo ambayo huambatana na mashindano hayo!, ilikuwa ni fainali ya Ndondo cup, nia nzuri ya mashindano haya ni kusaka vipaji ni jambo jema ambalo hakuna mtu...
  6. B

    Air tel modem with wifi

    Napenda kujua iwapo inawezekana kuchakakua air tel modem yenye Wifi unaweza kutumia kwenye mitandao mwingine, mwenye uwezo huo naba ushauri
  7. B

    Coalitions of the willing (UKAWA)

    Mwanzo sikutegemea hata siku moja yaliyo semwa na Kagame yanaweza kuwa na mantiki, kwa kuwa watu mnapoamua kushirikiana katika jambo fulani, lengo lenu huwa ni moja, lakini kama wenzako au mwenzenu hayuko tayari na anaanza kuwa na sababu, au visingizio visivyo na msingi au ucheleweshaji usio...
  8. B

    Stastics analysis ya uchaguzi wa udiwani

    Ningelipenda kujua mwenye data kata kwa kata ikihusisha idadi ya kura katika uchaguzi uliomazika juzi, ukilinganishwa na uchaguzi uliotangulia,hii itatoa mwanga na majibu ya maswali mengi, nawasilisha!
  9. B

    Rasimu (ii) ya katiba- mgombea binafsi

    sijafanikiwa kuipata, Kwa wale walio pata na kuisoma Rasimu ya 2 inasemaje swala la mgombea binafsi naomba msaada wenu
  10. B

    Bomu arusha nani zaidi RC au RPC?

    Jana usiku nilikuwa naangalia tarrifa ya habari ,Waziri mkuu akiwa Arusha alitoa wito kwa madaktari wano watibu wahanga wa bomu lililorushwa kanisani, Kuwa vipande vya vyuma vitakavyo patikana miilini mwa wahanga hao apelekewe Mkuu wa Mkoa, yeye atavipeleka Polisi, polisi wata vikabidhi kwa...
  11. B

    Gas tena Tanzania

    Kuna habari kuwa gas zaidi imegunduliwa Tanzania, hii inakuwaje East Afica angalia hapa http://www.telegraph.co.uk/finance/markets/questor/9167900/Questor-share-tip-Ophir-make-another-discovery.html
  12. B

    Gas zaidi yangunduliwa karibu na Maafia

    Kuna habari kuwa kwa mara nyingine Gasi asili imegunduliwa huko Karibu na maafia je Tanzania tumejifunza nini hasa baada ya mikataba mibovu ya madini hasa Dhahabu, Umeme , je tuko tayari au yaleayale soma hapa Tanzania deepwater wildcat penetrates gas reservoir HOUSTON, Feb. 1702/17/2012...
  13. B

    DR Haji Mponda alidanganya BUNGE???

    Ningependa kujua kama Waziri wa Afya Dr Mponda kama alidanganya bunge wakati wa utetezi wake dhidi ya mgoma wa ma DR kuwa 1)Mgogoro ulikuwa haupo ktk hosiptals za KCMC, Bugando na kuwa Muhimbili hali ilikuwa imeanza kurejea ktk hali ya kawaida 2) je kwa kusema kuwa DR Ulimboka sio DR:A S...
  14. B

    Mbunge akifa kabla ya kuapa sheria inasemaje

    Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi iliyo achwa wazi???:A S 465:
  15. B

    Kamati ya Kanuni za Kudumu za Bunge

    Kwa wataalamu wa Sheria na maswala ya bunge na , ningependa kujua kamati hii ina powers zipi, pia muundo wake ukoje, je kama ikithibitika kuwa Spika anakwenda kinyume na utaratibu ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi yake, je sio kuwa ni mambo yale yale muundo wake unafuata propotionality...
  16. B

    Chuchu Sound

    salam aleykum ningependa kuomba mtu anisaidie kujua wapi nitapata nyimbo za chuchu sound ile ya akina mao santiago
  17. B

    Msaada juu ya ITUNES

    nilikuwa natafuta msaada wa itune , nilikuwa na itunes , mara siku moja ikawa imefuta miziki yote kwene library, ikawa haifanyi kazi tena , nika down load mpya , lakini kuinstall, ikakataa ina sema old itune can not be un installed , kwa sasa siwezi tena kutumia tena i tunes , wajuzi wa mambo...
  18. B

    msaada WESTERN DIGITAL 480 gb

    salamu aleykum wana jamvi, nina external driver western digital 480 gb,nimeweka data zangu ambazo ni kama 80% capacity ya storage, lakini jana nikajaribu kufanya kazi( ku access) nimepigwa na butwaa haisomi na message ina sema natakiwa kui format, nimechanganyikiwa siju nifanye nini, naomba...
  19. B

    Nani wa kulaumiwa, Mchuzi,TBC,ITV,Star TV

    Jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa Njinsi Shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa...
  20. B

    dell inspiron 1720

    Msaada please, Nina laptop Dell inspiron 1720, kuna wakati computer ina kuwa kama ime crash na message hii inatokea "hardware malfunction, call ur hardware vendor for support, then chini yake inafuata msg ***** The system has halted ******, sasa huyo vendor nitampata wapi hapa bongo...
Back
Top Bottom