Mimi binafsi baada ya kumsikiliza mwenyekiti akielezea mchakato mzima wa upigaji kura za kupitisha rasimu ya katiba utakavyoendeshwa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa ya kwamba unatoa mwanya mkubwa wa kuchakachuliwa kwa matokeo ya zoezi hilo. Tuchukue madhalani upigaji wa kura za wazi; utaratibu ni...
Kabla ya kuelezea hayo ninayotaka kueleza, sina budi awali ya yote niweke wazi maslahi binafsi niliyonayo katika suala zima ninalotaka kuelezea; ambalo ni mchakato wa utungaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maoni yangu,zoezi nzima kuanzia na uundwaji wa bunge la katiba...
Kwa mtanzania yeyote makini, mjadala unao endelea sasa juu ya utungaji wa katiba mpya siyo tu kwamba unakatisha tamaa, bali pia unaonyesha ni kwa kiwango gani unafiki umekidhili hapa nchini. Nasema hivyo kutokana na ukweli kwamba wengi wa wanaoshinikiza pande mbili asimu katika mjadala huo...
Kwa maoni yangu mchakato wa kupata katiba mpya ulikwenda tenge pale ambapo sheria iliyotungwa kusimamia mchakato huo ilipoteua wabunge wasasa na wajumbe wa baraza la wawakilishi kuwa wabunge wa katiba moja kwa moja. Uamuzi huo ulikuwa ni wa makosa kwasababu wabunge hao hawakuchanguliwa na...
Hivi majuzi, wakati akitoa mchango wake katika bunge la katiba, Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi alimushambulia jaji Warioba kwa madai kwamba yeye siyo mtu safi kwasababu eti aliwahi kupatikana na kosa la kutoa hongo kwenye uchaguzi, wakati anashindania ubunge na wassira.
Ukweli wa mambo, ni...
Kwa maoni yangu, miongoni mwa kasoro kubwa zilizomo katika rasimu ya pili ya katiba, ni kupuuzia kutaja 'usawa wa binadamu,' kama mojawapo ya tunu za taifa. Jambo la ajabu, ni kwamba watu wengi hawaoni kama kutowekwa kwa dhana hiyo ya usawa kama ni kasoro kubwa. Hii ina maana kwamba watu wengi...
Miongoni mwa mabadiliko yanayotokana na sheria ya mchakato wa mabadiliko ya katiba, iliyopitishwa kwa mbinde katika kikao cha bunge kilichopita, na kuwekewa sahihi na rais hivi karibuni, ni kuufanya uhai wa tume hiyo kukoma mara tu baada ya kukabidhi rasimu yapili ya katiba kwa rais. Katika...
Wakati mwingine nashindwa kuelewa akili za viongozi wetu;kwa mfano, chukulia hili suala la madawa ya kulevya, katika siku za hivi karibuni kumekuwepo majigambo ya kuwa serikali imelivalia njuga suala hilo kwa lengo la kukomesha biashara hiyo hapa nchini! Nijuavyo mimi, hayo madawa...
Jana nilimsikiliza kwa makini Mh. Mwakyembe akilielezea alivyojipanga kupambana na biashara ya madawa ya kulevya. Kitu nilichokibaini ni kwamba mkakati alionao katika uendeshaji wa vita hiyo hauna mshiko wowote; nasema hivyo kwasababu hakuonyesha kama alikuwa na dhamira yeyote ya kupambana na...
Ipo shule moja hapa Bukoba mjini, eneo la Nshambya, barabara ya Kashozi, ambayo mwenendo wake umekuwa ukiwatia mashaka wakazi wengi wa mji huu, wenye mapenzi na nchi hii.
Chanzo cha wasiwasi huo, hasa ni usiri uliopo kuhusu shughuli inayofanyika shuleni hapo; pamoja na ukweli kwamba shule hiyo...
Mtu akichunguza kwa makini chanzo cha mivutano ya kidini inayoendelea hivi sasa baina ya waislamu na wakiristo, ataona ya kwamba inatokana na tafsiri potovu ya matukio muimu ya kihistoria. Hakuna shaka lolote kwamba chimbuko la ustaharabu ni nchi za ghuba ya uajemi na bonde la mto nile. Baadaye...
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo yaliyotolewa kuunga mkono hoja hiyo, ni kwamba katika nchi yeyote ile tabaka la kipato cha kati na juu...
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo yaliyotolewa kuunga mkono hoja hiyo, ni kwamba katika nchi yeyote ile tabaka la kipato cha kati na juu...
Katika hotuba yake huko Shinyanga wakati wa kuzima mwenge, J.K pamoja na mambo mengine aliwawosia Watanzania kuwa na subira katika kuchukua maamuzi. Alisema ya kuwa siyo jambo la busara kuchua uamuzi wa jambo lolote lile huku ukiwa na jasba. Akitoa mfano, alisema kufuatia wimbi la kuuwawa kwa...
Wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya madini na nishati Vita Kawawa alitoa hoja akimtaka spika apange muda wa kujandili humo bungeni tuhuma zilizoelekezwakwa baadha ya wabunge kwamba walikuwa wamepewa hongo kwaajili ya kuwakingia kifua baadhi ya watendaji waandamizi wa Tanesco waliosimamishwa...
Baada ya bodi ya Tanesco kumsimamisha mkugenzi wa shirika hilo la umma kwa tuhuma za ufizadi Zitto Kabwa alijitokeza hadharani kupinga hatua hiyo, na tangu wakati huo vyombo vingi vya habari vimekua vina,taja kuwa miongoni mwa wabunge waliopewa hongo na hao watendaji waandamizi wa Tanesco...
Katika siku za hivi karibuni kulitolewa taarifa kwenye jamii forum ya kwamba jima anololitumia katibu wa fedha na mipamgo ccm, siyo la kwake bali alilipoka kutoka kwa mwenye jina hilo kinyemela.Kama hivyo ndivyo kuna kila sababu ya kukumfikisha katibu huyo mahakamani kwa kosa la jinai la...
Kama kawaida yake, leo hii spika Anne Makinda, kwa jazba, alikataa ushauri uliomtaka aamru bunge kurudia upya zoezi la kupitia bajeti ya wizara ya kilimo na ushirika fungu kwa fungu. Mtoa hoja hiyo, alisema zoezi la kupitisha vifungu hivyo siku ya juma mosi iliyopita ni batili kwakuwa wakati...
Leo mbunge wa Kigoma mh. Kafulila alitoa rai bungeni ya kwamba anao ushahidi wa kutosha wa kuthihirisha ya kwamba kushindwa kwa serikali katika kesi ya Richmond kulitokana na njama zilizosukwa ndani ya serikali yenyewe. Kufuatia kauli hiyo, ilitolewa hoja ikimtaka spika/mwenyekiti aliyekuwa...
Wakati akitoa ufafanuzi kuhusu tishio la Marekani kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania, kutokana na nchi hiyo kuruhusu Iran kupeperusha bendera yake kwenye manowali zake za mafuta, waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Membe, ananukuliwa kuelezea kwamba serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.